Wajameni kama LH anatoka na Kendall Jenner najitoa kumsapoti..... not this family plz Lewid ur better than this.......
Im happy Lh kashindwa achana na that crazy family.....
Na hapo Monaco ukishakamata pole ushindi ni wako labla gari izingue, mkoloni atakua mwekundu leo
Maria Roza ule mpango wa kumbebesha BAK pochi yako wakati unajivinjari na Lewis umeishia wapi? Maana jamaa anazidi kutakata mfukoni, lol
Maria Roza bana, wasumbufu sana ......
<strong>
Yaani Mkuu nimeshikwa na donge sana. Nilijua leo LH anashinda maana alikuwa ameweka gap kubwa, lakini baada ya ile ajali nikabaki kushangaa tu LH kutoka nafasi ya kwanza hadi ya tatu huku zikiwa zimebaki 7 laps only. Kwa kweli imeniudhi sana kuona kaburu anashinda wakati hakustahili kushinda.