Maria Roza
JF-Expert Member
- Apr 1, 2009
- 6,803
- 1,601
Yaani Mkuu nimeshikwa na donge sana. Nilijua leo LH anashinda maana alikuwa ameweka gap kubwa, lakini baada ya ile ajali nikabaki kushangaa tu LH kutoka nafasi ya kwanza hadi ya tatu huku zikiwa zimebaki 7 laps only. Kwa kweli imeniudhi sana kuona kaburu anashinda wakati hakustahili kushinda.
Akomeeeee kakosa msichana mpaka kaenda kwa ile family.... sorry im happy today.....hahahaaaa #teamsayno to jenner








