Maria Roza
JF-Expert Member
- Apr 1, 2009
- 6,803
- 1,601
Yaani Mkuu nimeshikwa na donge sana. Nilijua leo LH anashinda maana alikuwa ameweka gap kubwa, lakini baada ya ile ajali nikabaki kushangaa tu LH kutoka nafasi ya kwanza hadi ya tatu huku zikiwa zimebaki 7 laps only. Kwa kweli imeniudhi sana kuona kaburu anashinda wakati hakustahili kushinda.
Akomeeeee kakosa msichana mpaka kaenda kwa ile family.... sorry im happy today.....hahahaaaa #teamsayno to jenner
Weka picha ya Jenner
Natumia mchina for now banaaaaa
I know but ulimuona aligoma kumwaga shampagne ....im die hard fun wa Lh namsubiri Spa nishanunua ticket.... ukuje ubebe pochi...When you have time please! In two weeks LH will be able to take control in Montreal, Canada.
I know but ulimuona aligoma kumwaga shampagne ....im die hard fun wa Lh namsubiri Spa nishanunua ticket.... ukuje ubebe pochi...
Yaani Mkuu nimeshikwa na donge sana. Nilijua leo LH anashinda maana alikuwa ameweka gap kubwa, lakini baada ya ile ajali nikabaki kushangaa tu LH kutoka nafasi ya kwanza hadi ya tatu huku zikiwa zimebaki 7 laps only. Kwa kweli imeniudhi sana kuona kaburu anashinda wakati hakustahili kushinda.
Weka picha ya Jenner
Mkuu, hivi walimpita vipi? Nilitoka kidogo na kukuta mambo yamebadilika.
Kwa nini walimuita kwenye Pitstop wakati kuna ajali?
Mariaroza huyo Mamaa kapinda si kawaida. Mambo ya Sheick Manala na King King, Waganda wapo juu.
Daah. ..leo imeniumasanaa lewis hamilton kupotezaa ilaa naisubiri ya canada grand prix lazima atashinda..