Formula 1® Grand Prix special thread


Mkuu ule mpango wa ku double points kwenye race ya mwisho (Abu Dhabi) uliishia wapi?
 
Mkuu ule mpango wa ku double points kwenye race ya mwisho (Abu Dhabi) uliishia wapi?

It was scrapped!!!

The FIA has confirmed it will scrap the controversial double points finale to the F1 season as part of a raft of rule changes for the 2015 campaign.
The decision to award double points for the season-concluding Abu Dhabi GP last year provoked outrage among F1 fans and, while it did not influence the championship outcome, has been dispensed with after just one season. For every race in 2015, the victor will earn 25 points.
 

Kwa kiswahili mbio za langalanga! Kiwanja kinachoogopwa duniani kiko Canada kinaitwa Monte Carlo!
Niliyashuhudia Singapore 2009.
 

Mwaka huu hawata race Germany?????
 
kampuni nyingi zpo UK kama mercerdes AMG,lotus,williams,Mclaren etc na Germany ndio ina technology pia xoo kuna mambo wamepishana na F1 board ndii ikaishia kujitoa.ila kampuni ya kijerumani ya Audi na BMW wanategemea kuingia katika mchezo huu ifikapo mwaka 2017
 
....fanboys wa Lewis inamaana leo hamuaangalii Mkoloni alivyocrack under pressure! Hopeless NR again and again! LH will be champion after this race
 
LH wins US GP and world title...3time champion!!!

 
....fanboys wa Lewis inamaana leo hamuaangalii Mkoloni alivyocrack under pressure! Hopeless NR again and again! LH will be champion after this race

Mmmenyooka na bado! mkoloni vettel anatest new power unit still haikuona ndani!!!
 
...there is one thing in common in the podium, two german drivers and a german constructors team winning the race! How this would have been different had SV been in that W06! Here actually waingereza ndio wananyooshwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…