RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
jipe moyo....ila ningekushauri ujiandae na mnyoosho wa SILVER ARROW kama kawa...............naona muda hauendi aisee tuanze season nyingine....ambapo vettel atawanyoosha this time!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jipe moyo....ila ningekushauri ujiandae na mnyoosho wa SILVER ARROW kama kawa...............naona muda hauendi aisee tuanze season nyingine....ambapo vettel atawanyoosha this time!!!
Ni kweli tena Leo kuona F1 nikakukumbuka mkuu natumai mzima Na mashabiki WA huku WA F1 natumai wazima Mie nashukuru Mungu naendelea Uzuri, hata F1 ndio inaanza Wakoloni 1,2,3 Muengereza Na Wajerumani.Qualification Results
Ila naona mfumo huu mpya wa qualifications unabore na hasa kwenye Q3
- Hamilton
- Rosberg
- Vettel
NImesoma mara mbili lakini bado sijakupa.Ni kweli tena Leo kuona F1 nikakukumbuka mkuu natumai mzima Na mashabiki WA huku WA F1 natumai wazima Mie nashukuru Mungu naendelea Uzuri, hata F1 ndio inaanza Wakoloni 1,2,3 Muengereza Na Wajerumani.
Ana maana ya kukaribisha msimu mpya wa formula 1, kwa kuwakumbuka wapenzi wote wa mchezo huo, aidha yeye yupo salama pamoja na kutojua kuwa msimu ndio umeshapiga hodi!NImesoma mara mbili lakini bado sijakupa.
mkuu hii ni section 3 result ?
Asante, Nimemsoma.Ana maana ya kukaribisha msimu mpya wa formula 1, kwa kuwakumbuka wapenzi wote wa mchezo huo, aidha yeye yupo salama pamoja na kutojua kuwa msimu ndio umeshapiga hodi!
Zaidi hao wakoloni ndio vinara wa mchezo huo, Hamilton -Mwingereza, Rosberg na Vettel - Wajerumani.
Mkuu, ukiangalia kwenye hiyo chati utaona kuna Q1,Q2 na Q3. Huu ndio mpangilio utakavyokuwa jumapili.mkuu hii ni section 3 result ?
Asante.Jaribu firstrow.com
Okay lakini hakumbuke kwenye sport ni nadra kutokea "comeback kid" baada ya perfomance kushuka sana.^^ Anadai kuwa anaweza kujutia uwamuzi wake iwapo tu, Ferrari watashinda ubingwa mwaka huu...