Formula 1® Grand Prix special thread

Formula 1® Grand Prix special thread

Qualification Results
  1. Hamilton
  2. Rosberg
  3. Vettel
Ila naona mfumo huu mpya wa qualifications unabore na hasa kwenye Q3
 
Qualification Results
  1. Hamilton
  2. Rosberg
  3. Vettel
Ila naona mfumo huu mpya wa qualifications unabore na hasa kwenye Q3
Ni kweli tena Leo kuona F1 nikakukumbuka mkuu natumai mzima Na mashabiki WA huku WA F1 natumai wazima Mie nashukuru Mungu naendelea Uzuri, hata F1 ndio inaanza Wakoloni 1,2,3 Muengereza Na Wajerumani.
 
NImesoma mara mbili lakini bado sijakupa.
 
NImesoma mara mbili lakini bado sijakupa.
Ana maana ya kukaribisha msimu mpya wa formula 1, kwa kuwakumbuka wapenzi wote wa mchezo huo, aidha yeye yupo salama pamoja na kutojua kuwa msimu ndio umeshapiga hodi!

Zaidi hao wakoloni ndio vinara wa mchezo huo, Hamilton -Mwingereza, Rosberg na Vettel - Wajerumani.
 
a7c70536-8b25-4329-8818-4149b35fad61.jpg
 
Ana maana ya kukaribisha msimu mpya wa formula 1, kwa kuwakumbuka wapenzi wote wa mchezo huo, aidha yeye yupo salama pamoja na kutojua kuwa msimu ndio umeshapiga hodi!

Zaidi hao wakoloni ndio vinara wa mchezo huo, Hamilton -Mwingereza, Rosberg na Vettel - Wajerumani.
Asante, Nimemsoma.

Mimi nilikuwa nadhania FIA wanashikisha teams kwenye kuunda new rules lakini nilicho notice leo kama kuliwa kuna ka protest cha new format, Q3 timu ziliamua kumalizia mchezo kwenye pitlane.

Mimi pia naona hii elimination system haina excitements hasa Q3. They should ditch it and revert to the old qualifying format.
 
Nipo safarini kesho kuna mtu anajua website yoyote ambayo ninaweza kuangalia live?
 
^^ Anadai kuwa anaweza kujutia uwamuzi wake iwapo tu, Ferrari watashinda ubingwa mwaka huu...
 
^^ Anadai kuwa anaweza kujutia uwamuzi wake iwapo tu, Ferrari watashinda ubingwa mwaka huu...
Okay lakini hakumbuke kwenye sport ni nadra kutokea "comeback kid" baada ya perfomance kushuka sana.
Ni rahisi Vettal kuwin WC zaidi ya Fernando in the future.
Mental state ni muhimu sana.
 
Back
Top Bottom