Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,468
- 2,349
- Thread starter
- #1,061
#TeamFerreri , Hongera kwa Kimi kwa kupata nafasi ya nne leo ingawa matumani yetu yalikuwa ni podium!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mwisho ya yote kasusa!
Kwa maana nyingine hatakiwi kufanya blunder yoyote katika race zilizobaki, kwani kwa kosa lolote ni ubingwa kwa Rosberg!
Rosberg kakera wengi sana, kama walivyosema mabosi wake hapakuwepo na ulazima wowote wa kushindana kivile katika lap ya pili tu!Anaweza asifanye blunder yoyote lakini akafanyiwa kama leo, Rosberg mpuuzi sana ila leo kaniudhi sanaa yaani sanaaa
'
Hamilton added: I gave the guy space so I don't really understand. It is really gutting for the team. We have had such a tough year. This is not good points for the team we could have easily had a 1-2.Rosberg kakera wengi sana, kama walivyosema mabosi wake hapakuwepo na ulazima wowote wa kushindana kivile katika lap ya pili tu!
Rosberg alifanya vile kwa kuofia kuwa iwapo Lewis atakuwa mbele yake basi hana nafasi tena ya kumkuta licha ya kushinda!
Kwa upande mwingine, lawana zitawarudia uongozi wa timu, kwa kutokuwa na mipango katika race, tunakumbuka kuwa madereva hawa wameachiwa kushindana bila kuwepo na order toka uongozini... na haya ya leo ni baadhi ya matunda yake na kuwapa Red Bull ushindi rahisi.
Nasubiri kusikia maoni ya Lewis juu ya Rosberg! Na uzuri wa Lewis hafichi kitu!
Belgium GP - Results
[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]1[/TD]
[TD]Ricciardo[/TD]
[TD]Red Bull[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2[/TD]
[TD]Rosberg[/TD]
[TD]Mercedes[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3[/TD]
[TD]Bottas[/TD]
[TD]Williams[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4[/TD]
[TD]Raikkonen[/TD]
[TD]Ferrari[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5[/TD]
[TD]Vettel[/TD]
[TD]Red Bull[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]6[/TD]
[TD]Magnussen[/TD]
[TD]McLaren[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7[/TD]
[TD]Button[/TD]
[TD]McLaren[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]8[/TD]
[TD]Alonso[/TD]
[TD]Ferrari[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]9[/TD]
[TD]Perez[/TD]
[TD]Force India[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]10[/TD]
[TD]Kvyat[/TD]
[TD]Toro Rosso[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Mkuu hii quote yako sikuiona mapema, ila kwa ufupi LH alipata pancha baada ya kuguswa na Rosberg, katika lap ya 2 (Maelezo mengine ni kama alivyoposti Wacha1 hapo juu), hivyo kusababisha kwenda box na kuwa wa mwisho lap ya 3.Mkuu leo nilikuwa mbali na tv, nini kimemtokea LH44??
#TeamHamilton Mnasemaje kuhusu kauli hii ya Rosberg? Ni point gani ambayo ameprove kwa Hamilton?Nico Rosberg hit me on purpose, claims Lewis Hamilton
"He said he could have avoided it, but he didn't want to. He basically said, 'I did it to prove a point'."
#TeamHamilton Mnasemaje kuhusu kauli hii ya Rosberg? Ni point gani ambayo ameprove kwa Hamilton?
Nachoona ni kuwa kumekuwepo na malalamiko kadhaa juu ya uendeshaji wa LH na hasa jinsi anavyo'overtake na anavyopenda kuachiwa nafasi pale kwenye nani apite mwanzo!What point exactly? Anajua Hamilton mwenyewe alikua anamaanisha nini wakati anatoa hii kauli, inawezekana bado alikua na hasira za kitendo alichofanya Rosberg au kuna mambo nyuma ya pazia ambayo sisi hatuyajui
Nachoona ni kuwa kumekuwepo na malalamiko kadhaa juu ya uendeshaji wa LH na hasa jinsi anavyo'overtake na anavyopenda kuachiwa nafasi pale kwenye nani apite mwanzo!
Hivyo basi Rosberg ameweza kumwonyesha Hamilton kuwa kama sio uvumilivu wa madereva wengine, kila shindano yatakuwa yanakupata haya(Kugongwa)! ama zaidi ya haya!
Teh teh teh.....may be, lakini sijui kina Pazi RRONDO BAK BelindaJacob na DMussa watakubaliana na wewe
Hamilton hata akigonga sio kusudi atapigwa Penalt ndani na mashindano yakiiisha wanampiga nyengine na media zinamfanya more Evil hii Marcedes pia wamejistukia ila ndio mashindano atafanya nini sasa? Wengine tushachoka hata kutizama.wala sina hamu ya kuangalia F1....sasa kama mtu anashindwa kushindana fairly na governing body inamlea sasa kuna mashindano hapo?? Kibunango niambie alichofanya rosberg angefanya hamilton angeachiwa!!! angepewa adhabu kibao lakini kwasababu kafanyiwa hamiliton sio issue.....hamilton ni aggressive hachezei mtu rafu wala kumgonga mtu makusudi.
rosberg kamgonga hamilton makusudi na kamwambia hamilton kuwa kafanya kusudi
Lakini LH44 huwa haombi kuachiwa nafasi apite. Somehow he's been rough lakini thats the fun we get. Sasa kwa matendo ya hujuma km ya NR6 ile fun inapotea....
wala sina hamu ya kuangalia F1....sasa kama mtu anashindwa kushindana fairly na governing body inamlea sasa kuna mashindano hapo?? Kibunango niambie alichofanya rosberg angefanya hamilton angeachiwa!!! angepewa adhabu kibao lakini kwasababu kafanyiwa hamiliton sio issue.....hamilton ni aggressive hachezei mtu rafu wala kumgonga mtu makusudi.
rosberg kamgonga hamilton makusudi na kamwambia hamilton kuwa kafanya kusudi
Hamilton hata akigonga sio kusudi atapigwa Penalt ndani na mashindano yakiiisha wanampiga nyengine na media zinamfanya more Evil hii Marcedes pia wamejistukia ila ndio mashindano atafanya nini sasa? Wengine tushachoka hata kutizama.
Its look like..Ukimwaga mboga namwaga ugali"#TeamHamilton Mnasemaje kuhusu kauli hii ya Rosberg? Ni point gani ambayo ameprove kwa Hamilton?