Formula 1® Grand Prix special thread

Formula 1® Grand Prix special thread

Lets see what happens today... 1-2 on the Grid, hope they'll put efforts in strategy.
At Monza I can only see Williams and Ferrari posing threat to Mercedes. Note that by Ferrari I mean Alonso haha....
 
1410029011404_wps_55_epa04387961_British_Formu.jpg



Come on Lewis .... .... . .
 
Super Mario (external): Kimi Raikkonen doesn't look like the driver he once was.Emma Henry (external): Ah! Kimi! I love you but you really aren't setting the world alight this season.Jay McMahon (external): Raikkonen should hang up his gloves and return to WRC, other drivers deserve his seat.cc: Kibunango
Atawajibu leo hii....
 
Last edited by a moderator:
Mkuu BAK unaamini kuna possibility ya Hamilton kurudi McLaren?
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Atawajibu leo hii....

Kimi is history Mkuu, leo Mercedes watakua wanabishana wao kwa wao labla kidogo na Williams, na hiyo track ya Monza pamoja na kuwa ni nyumbani kwenu lakini advantage iko kwa Mercedes, nadhani unajua njia iliyonyooka hakuna wa kubishana na Mercedes
 
Ros Dennis amerudishe tu mwanae wa ihari McLaren japo nasikia Vattel naye ataenda Marcedes waongo wakubwa!
 
BRAKE-BUSTER
Monza is the quickest track on the calendar, with top speeds of up to 340kph. On the approach to the first chicane, cars brake from 340 to 80kph in the space of 150m.
12:32
TRACK STATS

Venue: Monza Circuit length: 5.793km Laps: 53 Race distance: 306.720km Lap record: 1min 21.046secs (Rubens Barrichello, 2004) Number of corners: 11 (4 left/7 right)

2013 pole position: Sebastian Vettel (Red Bull) 1min 23.755secs 2013 winner: Sebastian Vettel (Red Bull) 2013 fastest lap: Lewis Hamilton (Mercedes) 1min 25.849secs
 
Vattel ataenda McLaren nasikia sorry sio Marcedes hawa Marcedes nishawachoka wanataka wahakikishe Rosberg yupo mbali ndio gari la Ham litakaa sawa agh! Arudi tu McLaren.
 
Ros Dennis amerudishe tu mwanae wa ihari McLaren japo nasikia Vattel naye ataenda Marcedes waongo wakubwa!

Vettel na Rosberg wawe team moja? Mbona Rosberg atakua analia kila siku na fitna za Vettel, kumbuka Webber?
Lakini Hamilton asiende huko McLaren mpaka tujue uwezo wa hiyo Honda yao
 
Lewis Hamilton angalau anakwenda ila Rosberg ndio bye bye kesho tena Marcedes #waongo sasa Hamilton wa pili.
 
Vettel na Rosberg wawe team moja? Mbona Rosberg atakua analia kila siku na fitna za Vettel, kumbuka Webber?
Lakini Hamilton asiende huko McLaren mpaka tujue uwezo wa hiyo Honda yao
nilikosea ni McLaren nasikia Vattel anaenda.
 
After a terrible start LH has taken the lead and he is 3 laps to the flag with 4.3 seconds ahead of Nico Roasberg ...... . ....... ..... he disregarded the team order to reduce speed and force NR to go into the chicane and took the lead there on ... ... ... .. . .
 
Kakoloni mamboleo chaaaaali. Kalitishwa na Mdhamini kakasahau kufunga break na kakapitiliza ikabidi tu kaachie Mdhamini awe wa kwanza.

Kinachoumani kitu kimoja, mwisho wa siku, huu wimbo unapigwa.....

 
Last edited by a moderator:
1410095154274_wps_22_Mercedes_German_driver_Ni.jpg


Masikini NR hii ndio adhabu yake .. ... .

Wrong turn: Nico Rosberg goes off the track after a mistake which saw him lose first place to Lewis Hamilton


1410095273747_wps_23_Mercedes_British_driver_L.jpg


Under pressure: The German driver was being closely followed by his teammate Hamilton when he made the crucial mistake


1410095933514_wps_32_Mercedes_driver_Nico_Rosb.jpg



Braking point: Rosberg attempts to brake but is forced off the track under pressure from Hamilton at turn one


1410095302157_wps_24_pic_shows_F1_Monza_nNico_.jpg


Decisive moment: Rosberg fails to make the turn, running straight across the chicane at turn one, and forcing him onto the escape road


1410095409842_wps_27_pic_shows_F1_Monza_nNico_.jpg


Pivotal: By the time the German had negotiated the obstacles Hamilton had emerged into the lead, which he never gave up
 
Back
Top Bottom