wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Wazee wa langalanga..hatar sana hizi kitu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ferrari labda ni janja yao kufanya F1 ionekane very boring kwa sababu LH anakaribia kuvunja record yao ya WC!!Vettel retires ... .. .. . after brake failure ... . .
Sijui pengine kweli, kwa mwendo huu Ham atakuwa best driver sooner than expected .... .... wazungu hawapendi mafanikio ya mtu mweusi. lakini hata Bottas analalamika gari lake lina joto sana ..... ..... since last two week analalamika .... .. . Ham lead now 12 secondsFerrari labda ni janja yao kufanya F1 ionekane very boring kwa sababu LH anakaribia kuvunja record yao ya WC!!
Hehehee. Sijawahi kuwaza hii kitu. Kwamba anataka kumfikia dereva wao.Ferrari labda ni janja yao kufanya F1 ionekane very boring kwa sababu LH anakaribia kuvunja record yao ya WC!!
Yeah.. Bottas amekuwa akilalamika kwa muda sasa kwamba hizo black overall zina joto! Ana point lakini wengine wamekuwa wakimwusisha na black lives matter!Sijui pengine kweli, kwa mwendo huu Ham atakuwa best driver sooner than expected .... .... wazungu hawapendi mafanikio ya mtu mweusi. lakini hata Bottas analalamika gari lake lina joto sana ..... ..... since last two week analalamika .... .. . Ham lead now 12 seconds
Hakuna timu ina spend power kama Ferrari halafu gafla waangukia P13 na P14!!!Hehehee. Sijawahi kuwaza hii kitu. Kwamba anataka kumfikia dereva wao.
Kwa kweli msimu huu wameshangaza dunia.Hakuna timu ina spend power kama Ferrari halafu gafla waangukia P13 na P14!!!
Both Ferarri are out of the race .. .. ..Hakuna timu ina spend power kama Ferrari halafu gafla waangukia P13 na P14!!!
LH hizo 10 seconds kusubiri wakati wa race imeanza. Hatakuwa kwenye position nzuri. Big blow to him!!Race suspended .. .. after that crash of Leclerc .... . no one knows who will win this race .. ... ...
Lewis Hamilton is marching furiously through a corridor here.
"He's seemingly been to see the stewards to talk about the lights," says Martin Brundle.