Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Dah niliipenda sana Game hii ya Grand Prix na Lotus Mashindano ya Magari Unachagua 10 races na barabara,nili enjoy sana ,sikumbuki mwaka gani nilitumia,enzi hizo tulitumia window 98.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gari la VB lilipata shida.Bottas is a useless driver this was his chance but he failed to take advantage. LH is eighth now with 4 minutes to the end of the race.
Lakini hii imeonyesha wale wanaosema kwamba Lewis Hamilton anashinda kwa sababu ya Mercedes performance sio kweli. Kama ingekuwa ni hivyo Bottas asingemaliza karibu na Hamilton.Bottas is a useless driver this was his chance but he failed to take advantage. LH is eighth now with 4 minutes to the end of the race.
The guy is lazy, I think.I have a feeling things might be good for Bottas today!!
BJ za masiku?Verstappen out!