Formula 1® Grand Prix special thread

Formula 1® Grand Prix special thread

Wakuu mbona huu ushindi wa Hamilton wazungu wanaupinga sana... Naona wazungu wana mtukana sana mpk wanamwita gorilla kwenye page ya insta
 
Wakuu mbona huu ushindi wa Hamilton wazungu wanaupinga sana... Naona wazungu wana mtukana sana mpk wanamwita gorilla kwenye page ya insta
Ni kwa sababu ya kugongana na Max.... na zaidi kwa jinsi alishoshangilia ushindi wake ilhali Max skies Hospital

By the way Redbull wameshtumu sana kauli za ubaguzi zilizotolewa, na wametaka vyombo vinavyohusika kuchukua hatua...
 
Wakuu mbona huu ushindi wa Hamilton wazungu wanaupinga sana... Naona wazungu wana mtukana sana mpk wanamwita gorilla kwenye page ya insta
aligonga gurudumu la nyuma la dreva mwenzake na kusababisha ajali. jambo ambalo limeonekana alifanya kusudi.
 
Ni kwa sababu ya kugongana na Max.... na zaidi kwa jinsi alishoshangilia ushindi wake ilhali Max skies Hospital

By the way Redbull wameshtumu sana kauli za ubaguzi zilizotolewa, na wametaka vyombo vinavyohusika kuchukua hatua...
mkuu hebu angalia hii clip nani alikua wrong hapo..!?
 
mkuu hebu angalia hii clip nani alikua wrong hapo..!?

Kitabia Max siku zote amekuwa aggressive na hasa kwenye kuovertake au anapolinda nafasi yake.

Hamilton alikuwa tayali keshapata racing line huyo Max alitakiwa kurudi nyuma na kumpisha Hamilton... lakini kutokana na mazoea yake yeye Max alitegemea kuwa Lewis ataback down kama kawaida...

Matokeo yake ndiyo hiyo ajali... Kimtazamo wangu naungana na huyo mtangazaji kama ni racing incident...

Ina future Max ajue kuwa kuna wabishi vilevile kama yeye..
 
Ukiaangalia hio kona hapo mkuu huoni max alikua mbele?
Shda sio aggressiveness hapana shda ni lewis kumgonga mwenzake wakati there was space on the inside

Afu max apunguzeje mwendo mkuu na yy ndo yuko mbele?
 
verstapen anajifanya ana mguu mzito grand prix ya imola alimsindikiza Hamilton nje.Hamilton akamuacha mara nyingi amekuwa anafanya hivyo mfano Baku alipokuwa na Daniel Richardo walikuwa timu moja mwenzake yupo nyuma anataka ampite yeye anafanya zig zag, wakagongana.singapore 2018 aliwekwa sandwich na gari mbili Ferrari Kimi raikon na Sebastian Vettel wote watatu wakatoka.Na ajali nyengine nyingi tu, alichoniudhi majibu ya 2018 alisema anafurahi wote wametoka kwenye mchezo yeye alikuwa hana cha kupoteza akimaanisha Vettel ndiye aliyepoteza.Sasa acha na yeye aanze kupata kile alichokipanda.Wewe unaongoza msimamo kwa point 33 hutaki kuridhika na nafasi ya pili kwanza angetumia akili hata mbele angempita tena lewis japo na Lewis alikuwa nyumbani na gari ya jumapili ilikuwa very fast.Bahati yake angekufa Hamjui Lewis Hamilton historia yake naye alikuwa kama yeye mwanzo alipokuwa anaanza Formula one.Haya sasa point ni nane na umeishia hospital kuanzia leo atajifunza sasa Hamilton naye pia uvumilivu umemshinda.cops speed ya 300kmh siyo mchezo ule mzinga ni 52G,Hamilton kaua ndege watatu kwa jiwe moja wa kwanza verstapen kaishia hospital pili gari ya Red Bull nyang'a nyang'a, ukizingatia msimu huu wa 2021 kuna bajeti cap.kuitengeneza itawagharimu mno na waombe tu powe unit isiwe imeharibika kwa sababu mpaka sasa Red Bull wana mashine ya pili na mwisho msimu mzima unaruhusiwa tatu tu ukitumia ya nne unapigwa faini unaanza grand prix box.ndege wa tatu kwa jiwe hilo hilo moja ni point 25 kwa 0,Max siku nyengine atumie akili hebu picha tuivute ingekuwa upande wa pili Lewis ana point zile 33 zaidi ya max angempisha kwa sababu ana uzoefu wa F1 na keshakuwa mkubwa toka 2007. Max asipokuwa makini ubingwa huu ataupoteza yeye,Hayo mambo ya ubaguzi Lewis keshayazoea hata 2007 mwaka wake wa kwanza alipokuwa na Alonso yale matatizo ya spy story na alonso kufanya madudu kwenye box ilikuwa Hungary.walipoenda hispania si ndiyo mashabiki wa Alonso wakachukia wakavaa vinyago vya sokwe wa kumdhihaki Lewis.Mwisho wa yote muhimu max yupo vizuri tu.
 
1631466976951.png
 
P1: Hamilton beats Verstappen but penalty confirmed (msn.com)

Lewis Hamilton set a soaring pace ahead of Max Verstappen in opening practice for the Turkish GP, as the championship leader enjoyed a positive start to the weekend despite his grid penalty confirmation.

Hamilton will take a 10-place grid penalty for Sunday's race after Mercedes opted to fit a new engine (ICE) to better serve him in his championship fight against Verstappen over the last seven rounds of the season.

1633871949426.png

© Sutton Images

But as that news filtered in off the track, Hamilton was dominating on it - much faster and seemingly much more comfortable around the thrilling Istanbul Park circuit than any other driver.

Hamilton posted multiple track records in the morning and finished with a fastest time of a 1:24.178, 0.425s quicker than Verstappen in the new-look Red Bull that has been transformed as a tribute to outgoing engine suppliers Honda.

Charles Leclerc was just behind Verstappen in third for Ferrari as, with improved grip levels, lap times were over 10 seconds faster than at this stage last year in Turkey.

Valtteri Bottas, who may have a key role to play against Verstappen with Hamilton down the grid come Sunday, was fourth ahead of Carlos Sainz, who is also taking an engine penalty this weekend.

Esteban Ocon was sixth, although his time - 0.7s off the pace - was impressive given he posted it on the hard tyres.

Lando Norris, desperate to bounce back from his Russian GP heartbreak, Pierre Gasly, Fernando Alonso and Sergio Perez filled the rest of the top-10. Red Bull will certainly be hoping for more from Perez through the weekend as they look to take advantage of Hamilton's penalty.

Second practice begins at 1pm, live only on Sky Sports F1.
 
Top five​

1. Charles Leclerc (Ferrari)
2. Valtteri Bottas (Mercedes)
3. Max Verstappen (Red Bull)
4. Lewis Hamilton (Mercedes)
5. Sergio Perez (Red Bull)

.... come on LH ..... ....
 
Back
Top Bottom