Formula iliyotolewa na NIMR kudhibiti Covid19 ikizingatiwa tukaitumia bila dharau hatuhitaji chanjo

Tutasikia Mengi Sana, Mabeberu Hatutaki Dawa Zao
 
Ile iliyobebwa na ndege hatma yake vipi, mbona hatukuelezwa ufanisi wake
 
Nyankurungu2020 said:
Kama alikuwa na Covid 19 na wewe umefika kwake msibani basi hata wewe utakuwa umeipata. Maana huu ugonjwa unaambukizwa kwa kupiga chafya au kugusana.
Ukipunguza umbulula utaelewa tu MTU akifa kama hawezi piga chafya au kuchuruzika maji na maiti ikapigwa dawa za kutosha hakuna madhara unless hujui maana ya virus. Katika hotuba tangulizi mkemia Dr. JPM alifafanua vizuri kuwa virus ni kimelea kinachojiunda kwenye mafuta hivyo kinaweza kuyeyuka kwenye joto kali. Ndio maana unashauliwa kula nanasi nyingi, limau, pilipiki tangawizi ili damu izunguke na kupata kinga ikiwa na joto , mpaka sasa hakuna dawa ila wazungu wanatulazikisha na kinga kuja kutudhuru
 
Umesema watoto wa marehemu dereva hawajawekwa karantini. Una maanisha wana maambukizi,wewe si uligusana nao. Kwa hiyo tayari unao ugonjwa. Au fomula ya Nimr inakusaidia?
 
Hivi unajua maana ya immunization?
 
Hiyo Chanjo imewasaidia vipi wazungu? Tusilazimishane vitu vya majaribio rais wetu ameonyesha nia njema
 
Hiyo Chanjo imewasaidia vipi wazungu? Tusilazimishane vitu vya majaribio rais wetu ameonyesha nia njema
Safi kabisa tumeambiwa tusijaribu jaribu vitu bila kujua madhara ya baadae
 
Bia yetu,etwege,motochini,wakudavadua ndio wanaongoza team lumumba kwenda china kupata chanjo hiyo
Dr. Magu alivyoruhusu shule kufunguliwa mwezi wa sita wazungu walishangaa sana, alivyofungua mipaka na Viwanja vya ndege wakaduwaa mno. Alivyoruhusu Mpira simba ikajaza uwanja Dunia yote macho na masikio kwetu kungoja vifo kama kuku lakini hili alikutokea, nyungu Sala zilifanya kazi, mpaka Leo hakuna mtoto Wa shule kuanzia kidato cha sita hadi std 1 hivyo wanaokufa ni vibonge. Wenye vvu na
 
Walichogundua NIMR ni lishe!Wewe profesa wa NIMR gundua chanjo na siyo mambo ya lishe.Hizi formula za lishe kuna watu wameishia la saba huku mtaani huwa naona wanatengeneza na kuuza lishe pia.Profesa wa NIMR acha kuzingua!
 
Kings labdaE="Behaviourist, post: 37969543, member: 362019"]
Walichogundua NIMR ni lishe!Wewe profesa wa NIMR gundua chanjo na siyo mambo ya lishe.Hizi formula za lishe kuna watu wameishia la saba huku mtaani huwa naona wanatengeneza na kuuza lishe pia.Profesa wa NIMR acha kuzingua!
[/QUOTE]
Chanjo waanzie kwa wazee umri 65 na watu we ye magonjwa nyemelezi lakini kwa vijana no no no
 
Umesema watoto wa marehemu dereva hawajawekwa karantini. Una maanisha wana maambukizi,wewe si uligusana nao. Kwa hiyo tayari unao ugonjwa. Au fomula ya Nimr inakusaidia?
Mimi kwangu nimepanda kaswagara, limau nanasi , pilipili na tangawizi, mwembe na mpera. Bado nakunywa Uji hopeca ambayo nayo inaondoa maradhi hivyo nimezika kawaida tu wala sikuvaa barakoa
 
Kwa hiyo umetumwa na Nimr uwatangazie biashara?

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Jibu hoja mwaandishi acha kukosoa alivyoandika" amesema mchezaji gani na mfanya mazoezi amekufa kwa COVID-19?.
 

wazazi wangu wanahitaji chanjo naomba tusilazimishane kila kwenye mambo ya maamuzi ya kiafya. Kwa wale wasiotaka chanjo waendelee na nyungu lakini wazazi wetu wanahitaji chanjo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…