Formula iliyotolewa na NIMR kudhibiti Covid19 ikizingatiwa tukaitumia bila dharau hatuhitaji chanjo

wazazi wangu wanahitaji chanjo naomba tusilazimishane kila kwenye mambo ya maamuzi ya kiafya. Kwa wale wasiotaka chanjo waendelee na nyungu lakini wazazi wetu wanahitaji chanjo
Utapita wapi tukikugundua umechanjwa bila kibali wafwaa
 
Yale mapilipili?? Hacha zako
 
Unataka kusema wazungu hawali mlo kamili?
Unaeeza ukakamilika ndani hamna kitu sasa kutana na anayekula nanasi mzima mayai ya kienyeji, magimbi viazi vitamu plus Maembe live yasiyovundikwa wao kila chakula chao kina modifications kuanzia papai mpaka Maembe kuna kitu hapo. Lishe kwa sura na urembo kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…