baba anjela
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 431
- 310
Ukikosa hapa, Tembelea duka la wauzaji wa vyakula vya kuku kwa ushauri msaada zaidiHabari ndugu zangu ,naomba mwenye ufahamu wa formula ya kuchanganya cha kula cha kuku wa mayai wenye miezi 2 hadi 4....naomba nitumieni .
Wauzaji wa vyakula vya kuku wakupe formula? [emoji849]Ukikosa hapa, Tembelea duka la wauzaji wa vyakula vya kuku kwa ushauri msaada zaidi
Sasa unashangaa nini kuna maduka yanafanya hizo huduma.Wauzaji wa vyakula vya kuku wakupe formula? [emoji849]
Mkuu upo mkoa gani? Maana wakiwa wadogo ni vyema wapate chakula kizuri sana. wakikua atleast mwezi mmoja uanze kuwachanganyia.Habari ndugu zangu ,naomba mwenye ufahamu wa formula ya kuchanganya cha kula cha kuku wa mayai wenye miezi 2 hadi 4....naomba nitumieni .
Ni sahihi kama uko Dar pale farmers center Ilala Amana watakushauri kuanzia kujenga mabanda, chakula , na mambo mengine formula utapewa utoe copy.Ukikosa hapa, Tembelea duka la wauzaji wa vyakula vya kuku kwa ushauri msaada zaidi
ni sahihi kama uko dar pale farmers center Ilala Amana watakushauri kuanzia kujenga mabanda, chakula , na mambo mengine. formula utapewa utoe copy.