Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
Kuna taarifa kuwa Forodhani Zenji imeuzwa kwa AGHAKHAN.
Hiyo ni siku nyingi sana. Umesikia wapi na lini? Siyo hiyo pekee, bali sehemu zote za beaches anamiliki Shaida Karume. Hii ni habari kubwa sana kule Zanzibar
Zenj kuna tatizo kubwa kuhusu Open spaces na hasa katika Halmashauri ya Manispaa ya Zanzibar.Najua kuwa SHADIYA KARUME aka MKEWE RAIS KARUME ameshachukua kwa nguvu open space zote na kawapa wataliii including Nyumba ya mayatima ....Huko Pemba nasikia ndio anaiba kwa mile wala si kwa Acre
Wana JF znz tunaomba input zenu kwenye hili
Sehemu kama zipi?Kuna taarifa kuwa Forodhani Zenji imeuzwa kwa AGHAKHAN.
Hiyo ni siku nyingi sana. Umesikia wapi na lini? Siyo hiyo pekee, bali sehemu zote za beaches anamiliki Shaida Karume. Hii ni habari kubwa sana kule Zanzibar
Kuna taarifa kuwa Forodhani Zenji imeuzwa kwa AGHAKHAN.
Hiyo ni siku nyingi sana. Umesikia wapi na lini? Siyo hiyo pekee, bali sehemu zote za beaches anamiliki Shaida Karume. Hii ni habari kubwa sana kule Zanzibar
Mimi sidhani kama neno zote lina maani nyingine zaidi ya kila moja.
Inamaana hakuna sehemu yoyote ya ya beach huko ambayo inamilikiwa na wawekezaji kwa mfano?
Dalili ya majungu hiyo.
Unaweza ukasema tu kwamba huyo bibie anamiliki baadhi ya sehemu za beach, halafu ututajie mbili tatu kama mifano. Utakuwa umesaidia zaidi mjadala.
Mimi sidhani kama neno zote lina maani nyingine zaidi ya kila moja.
Inamaana hakuna sehemu yoyote ya ya beach huko ambayo inamilikiwa na wawekezaji kwa mfano?
Dalili ya majungu hiyo.
Unaweza ukasema tu kwamba huyo bibie anamilikia baadhi ya sehemu za beach, halafu ututajie mbili tatu kama mifano. Utakuwa umesaidia zaidi mjadala.
,,, of course, hawezi chukua beach ambazo zinakaliwa na watu au zina investment. Ulitakuwa usome kwa vina, kwa kizungu wanasema between lines, kwamba kila kilichokuwa empty, sasa hivi chake. Of course amenunua kwa lengo la kuuza kwa bei kubwa zaidi.
Sijui kama nahitaji notes zaidi ya hizi kukuweka sawa sawa?
Kuna matatizo katika kusimamia sheria ya Ardhi ya mwaka 1985, ambayo inatamka bayana kuwa ardhi yote ya Zenj ni mali ya serikali. Hapo hapo SMZ hiyohiyo inakuwa tayali kurudisha ardhi kwa baadhi ya watu(ardhi zilizotaifishwa baada ya mapinduzi). Sasa hapa unajiuliza ni nini maana ya Sheria ya ardhi ya mwaka 1985?asalamu alaykum.
kuna malalamiko mengi yanalekezwa kwa familia ya rais kuhusu kutumia vyeo kuchukua ardhi na ukenda katika mahakama za ardhi utakuwa hizo kesi na zaidi maam wa rais na watoto wake ndio wanalalmikiwa sana kuchukua lakini kama mnavyojua zanizbar hakuna vyombo vya habari binafsi vilivyopo ni fm za kupiga miziki ya fleva tu gazeti serious ndio halitakiwi kabisa.
Kuna taarifa kuwa Forodhani Zenji imeuzwa kwa AGHAKHAN. Je wenzetu mlio visiwa vidogo vidogo mna nyeti yoyote kuhusu hili? maana naona main forum ya wazanzibari ya ZANZINET hairuhusu wasiojuana kwa vilemba kujoin
Najua kuwa SHADIYA KARUME aka MKEWE RAIS KARUME ameshachukua kwa nguvu open space zote na kawapa wataliii including Nyumba ya mayatima ....Huko Pemba nasikia ndio anaiba kwa mile wala si kwa Acre
Wana JF znz tunaomba input zenu kwenye hili
Kuna matatizo katika kusimamia sheria ya Ardhi ya mwaka 1985, ambayo inatamka bayana kuwa ardhi yote ya Zenj ni mali ya serikali. Hapo hapo SMZ hiyohiyo inakuwa tayali kurudisha ardhi kwa baadhi ya watu(ardhi zilizotaifishwa baada ya mapinduzi). Sasa hapa unajiuliza ni nini maana ya Sheria ya ardhi ya mwaka 1985?
Kuna suala la eka tatu, hizi walipewa wananchi kwa ajili ya kilimo, baadhi ya eka tatu hizi ziliingia kwenye masterplan ya mji wa zanzibar ya mwaka 1982. na zikapimwa kwa ajili ya viwanja vya kujengea nyumba za kuishi, shule, na maeneo ya biashara. Wengi wa wenye eka hizi walikubaliana na SMZ kupima viwanja hivyo na SMZ kuchukua asilimia fulani ya viwanja hivyo na kumwachia mwenye eka asilimia fulani ya viwanja, ambapo vinakuwa ni vyake na ni hiari yake kuviuza, kuvigawa au kuviendeleza yeye mwenyewe. Kule ambako masterplan haikufika na ni bado ni jirani na mji ikawa ni dili kubwa ya kuuza eka hizo. Ukirudi nyuma katika sheria ya Ardhi hairuhusu kwa mwananchi yoyote kuuza ardhi. Ardhi ni mali ya serikali na ni vipando tu ambavyo mwenye ardhi anaweza kuviuza.
Hapo hapo kuna Idara ya mambo msige ambao hawa kazi yao kubwa ni kutambua mashamba na nyumba za watu na kutoa hati ya umiliki ambayo inatambulika na SMZ.... Mchezo unaofanywa hapo ni kuuza ardhi na kujenga msingi fasta na kukimbilia Mambo Msige kupata hati ya umiliki, ambayo unaipeleka huko wizara ya Ardhi ili wakupatie hati ya ardhi... (hii sio lazima).
Kesi nyingi za ardhi katika Zanzibar zimetokana na udhaifu mkubwa uliopo kati ya wizara ya Ardhi na Idara ya Mambo Msige.Zaidi kuna hii habari ya Wafku...Ambayo kwa upande mmoja imechangia kuwepo na migogoro isiyo kwisha ya ardhi. Kupitia kasoro hizi wengi wameuza ardhi zao kinyume na taratibu na kusababisha kesi nyingi mahakamani na hadi kufikia kwa SMZ kuwa na mahakama ya malalamiko ardhi pekee.
Kutupa lawama kwa familia ya Prez kuwa imetwaa ardhi zote za ufukweni sio pasipo kutaja hayo maeneo ni majungu tu. Ni vema kuja na malalamiko yenye kujitosholeza ili kuona kama yana ukweli wowote, kwani Zenj hakuna siri licha ya kutokuwepo kwa vyombo vya habari huru unavyodai wewe.
Mfano wajungu ni matengenezo ya Bustani ya Forodhani, Mama Karume(festi leidi) ni Mwenyekiti wa Zayadesa, na walipopewa Bustani hiyo kuifanyia matengenezo wengi waliokuwa nje ya bustani hiyo walianza kudai kuwa tayali eneo hilo limeuzwa. Hata kile kipindi maarufu cha Mawio kiliamua kufanya uchunguzi juu ya hilo na kukuta hakuna ukweli wowote.
Sehemu ya Nyumba ya mayatima(ilikuwa haitumiki zaidi ya kuwa makaazi ya panya buku) ambayo imefunguliwa Kibaa, nayo ilizua kizazaa kuwa watoto wa prez wamejichukulia nyumba la mayatima.
Ardhi, usomali na mabadiliko yanaendana vipi na ukarabati wa Forodhani Park?mnashangaaa kuuzwa ardhi?, hao wazanzibari wenyewe washauzwa ,wengi wao wamekuwa wasomali. aakh mie naona acha tusubiri kiyama tu, mabadiliko hususan kule zanzibar ni ndoto ya nzi kuambukiza ukimwi!
Eneo hilo kimipaka ya Halmashuri za Miji ya mwaka 1995 lipo katika halmashauri ya wilaya ya Magharibi, hata hivyo Halmashauri hiyo haina uwezo wa kupima na kugawa ardhi ama kutoa vibali vya ujenzi katika eneo hilo, kwani lipo chini ya sheria ya Ardhi ya mwaka 1985 na maendelezo yake yanafuta master plan ya mwaka 1982, huku ujenzi katika eneo hilo unapata baraka za UDCA ambayo inajengwa na wajumbe toka Idara ya Ujenzi, Idara ya Mipango Miji, Idara ya Ardhi, Idara ya Mazingira na Halmashauri ya Manispaa ya Zanzibar ambayo hutoa katibu na mwenyekiti.Mfano ni eneo liliokombele ya nyumba za Kwamchina ambalo liko sehemu ya wilaya ya Magharibi Mansour amejigawia viwanja 18 vya biashara na anauza kwa milioni 10 kila kiomoja kupitia kwa mawakalawake wa siri.
Mfano mwengine ni mbele ya kiwanda cha maziwa Maruhubi - alipouziwa Bakhresa alidai hadi hiyo sehemu na aliambiwa hivi hivi kama hataki atarudishiwa pesa zake lakini sehemu ile hapewi kwani ya Mama wa Dr/Alhaj/ Mheshimiwa/Rais wa Znz.
Hawa jamaa sasa wameshageuzwa majina hadi wanaitwa 'hapa pangu'.