Forojo Ganze (Master), mchawi maarufu aliyeanzisha Mwenge wa Uhuru

raa na mwanae isis ni miungu ya egypt sio israel
 
Kwa hiyo TZ ilikabidhiwa mikononi mwa shetani.Any way nashukuru kwa kufahamu chanzo cha huu mwenge sikiwahi kupata jibu la kuridhisha
Ahsante JF
 
Enhee nambie habali ya lindi na zindiko
Limefanyika eneo gani
Mwaka gani
Na nani walihusika....?
Na kwanini waliichagua lindi na si mkoa mwingine
 
Umeandika " UMULIKE HATA NJEE YA MIPAKA YETU." sasa mbona unajitega mwenyewe
 
Ndiomaana wapinzani kipindi frani wali chachamaa mwenge ufutwe coz wanajua ukiondoa labda ccm yaweza toka madarakan sina uhakika lakin
 
Ndiomaana wapinzani kipindi frani wali chachamaa mwenge ufutwe coz wanajua ukiondoa labda ccm yaweza toka madarakan sina uhakika lakin
Yawezekana,ndo maana ulindwa kama almas
 
Kuna haja ya Watanzania kuwa na utamaduni wa kuweka Mapito yetu kwenya maandishi ili hata vizazi vijavyo isije kufika wakati vikawa vinabishana juu ya kule taifa limetoka. Mfn leo tuko wenye miaka ya 2000's ikijakufika miaka ya 3000's mtoto atakaye zaliwa let's say 3018 atakuwa anasimuliwa kuwa kuna watu waliwahi kuishi bila kuwa na UMEME au BARABARA au SIMU lakini atabishi na atahitaji ushahidi na atahitaji hata picha ili kudhibitisha....lakini ushahid hautapatikana na ataonekana mshindi........na yule aliyesimulia ataonekana muongo maana amekosa ushahidi. Wazungu ni watunzaji wazuri wa kumbukumbu na historia zao hata sisi tunaweza kujifunza....
 
V Viongozi wetu mpo?Jamani hatuutaki huu mwenge unatufanya tuwe mazezeta!
 
Kwani Rais wa Tanzania, hatoshi kuwaunga watanzania?
 
Mwenye wimbo "Wa Mwenge mama Mwenge mbiombio,Mwenge tunaukimbiza mbiombio"!! Anirushie tafadhali
 
Ila kiuhalisia, Hizo nchi kama China na India zimekua baada ya population ya Wakristo (Mungu wa Wazungu) kuongezeka.

Na nchi za kiarabu pia wamestick na Mungu wao. Nchi kama Israel ina watu wasiomwamini Yesu Kristo bali wanamkubali Mungu.

Kuna nchi zingine zina maendeleo na zinakuwa kila siku na ni nchi zenye population kubwa ya atheists.

Point yangu ni nini?
Maendeleo ya kidunia, ya kiuchumi nakadhalika; hayana uhusiano wowote aina ya Imani nchi husika inayo.

Nchi zilizoendelea zina idadi kubwa ya watu wanao-invest muda na pesa katika maendeleo. Narudia tena, sio 'wote', bali 'idadi kubwa'. Hawajaridhika na maisha. Bas!
Huo ndo uchawi wa maendeleo.
Enlightenment!




Sent using LF Electromagnetic Waves
 
[emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…