Forojo Ganze (Master), mchawi maarufu aliyeanzisha Mwenge wa Uhuru

Forojo Ganze (Master), mchawi maarufu aliyeanzisha Mwenge wa Uhuru

"Baba, sisi tunataka kuwasha mwenge na kuuweka juu ya mlima kilimanjaro, umulike hata nje ya mipaka yetu, ulete tumaini mahala pasipo na tumaini, faraja palipo na huzuni, tumaini pasipo na tumaini, upendo penye chuki na heshima palipo na dharau"

Baada ya kutamka hayo mbele ya Mwl.Nyerere, Ganze alikata roho na ndipo ukaanzishwa Mwenge wa Uhuru. Kinachonishangaza hapa ni kile kipengele kisemacho"UMULIKE NJE YA MIPAKA YETU". Inamaana ndani ya nchi tubaki gizani kama tulivyo sasa? Na kwann Forojo Ganze hakutangazwa kama mwanzilishi wa Mwenge?
Duuuh! Kumbe tuendelee kuuenzi mwwnge wa uhuru umulike hadi nje ya mipaka.
 
Kuna Mzee alinisimulia hii stori ngoja kukuche ili nikumbuke alichosema.
 
Asante mwandishi kwenye hii Orodha ya Manabii wa wa mauza uza listi naiboresha

1. Masta Forojo Ganze
2. Primus Julius Mubanga
3. Shaibu Kalole Mtiga
4. Mfaume Goro Tumbo
5.Shekh Yahya Hussein
Hiyo Mkristo Primus naye kafuata nini hapo,duh!Aibu tupu hizi.
 
Kwenye hili jukwaa maarufu la kutetea udini hili jambo bado halijapewa maandiko. Tunasubiria
 
Back
Top Bottom