Pirate of Carribean
Senior Member
- Sep 4, 2019
- 116
- 189
Nasubiri comments
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo Dereva wa Ford Ranger ndo kachemka !!!Nasubiri comments View attachment 2286206
Itakuwa Ranger 3.2L (zito kuchanganya) ingekuwa Ranger 2.2L tungepata majibu mengine.Nasubiri comments View attachment 2286206
Toyota Fortuner Vs Ford EvarestHapo Toyota Fortuner ilitakiwa apambanishwe na Ford Explorer ndio mshindani wake
Inakuwaje nzito wakati ni 3.2L v6, 6gearsItakuwa Ranger 3.2L (zito kuchanganya) ingekuwa Ranger 2.2L tungepata majibu mengine.
2.2L ni 5 gears, hizo Ranger za 3.2 matoleo yote ya wildtrack yapo hapoInakuwaje nzito wakati ni 3.2L v6, 6gears
Katika eneo la Trucks za kibongo mimi huwa namkubali sana Nissan NP300 au Navara. Performance wise ipo vizuri sana naweza kusema hivyo. ndio wanafuata hao akina HILUX, Ford, Sporteroo Mitsubishi, Isuzu dmaxHayo ma Ford Ranger mnayakuza tu...hamna kitu , ni ya kawaida sana
Sasa anapitwaje na 2.2lHata 2.2L ni 6 gears, hizo Ranger za 3.2 matoleo yote ya wildtrack yapo hapo
View attachment 2286861
Kuna nissan hard body hapa inapiga mzigo, hizo ford ranger wamenunuliwa ma manager lakini ni za kichovu sana na service zinapigwa kwa wakatiKatika eneo la Trucks za kibongo mimi huwa namkubali sana Nissan NP300 au Navara. Performance wise ipo vizuri sana naweza kusema hivyo. ndio wanafuata hao akina HILUX, Ford, Spoteroo Mitsubishi, Isuzu dmax
Nimeendesha version zote mbili, experience ninayo kwenye Ranger zote 2.2l na 3.2l. 3.2l inachukua muda kuchanganya tofauti na hiyo 2.2l yaani kuchanganya ni dkk tu.Sasa anapitwaje na 2.2l
Hapa wakishindana inakuwa ni sahihi kabisa.Toyota Fortuner Vs Ford Evarest
View attachment 2286857
Na kwenye Ford Evarest wanazo 2.2L na 3.2LHapa wakishindana inakuwa ni sahihi kabisa.