Fortuna vs Ranger

Fortuna vs Ranger

Hapo Toyota Fortuner ilitakiwa apambanishwe na Ford Explorer ndio mshindani wake
Toyota Fortuner Vs Ford Evarest
1657518754714.png
 
Hayo ma Ford Ranger mnayakuza tu...hamna kitu , ni ya kawaida sana
Katika eneo la Trucks za kibongo mimi huwa namkubali sana Nissan NP300 au Navara. Performance wise ipo vizuri sana naweza kusema hivyo. ndio wanafuata hao akina HILUX, Ford, Sporteroo Mitsubishi, Isuzu dmax

1657519456649.png

1657520777501.png

1657520811502.png
 
Katika eneo la Trucks za kibongo mimi huwa namkubali sana Nissan NP300 au Navara. Performance wise ipo vizuri sana naweza kusema hivyo. ndio wanafuata hao akina HILUX, Ford, Spoteroo Mitsubishi, Isuzu dmax
Kuna nissan hard body hapa inapiga mzigo, hizo ford ranger wamenunuliwa ma manager lakini ni za kichovu sana na service zinapigwa kwa wakati
 
Hiyo 2.2l ranger unaweza ondokea hata ikiwa kwenye gear 2, ila hiyo 3.2 ni mpaka uivizie sana au labda mpaka urudi kwenye gear 1.
 
Back
Top Bottom