Fortuna vs Ranger

Hayo ma Ford Ranger mnayakuza tu...hamna kitu , ni ya kawaida sana
 
Hayo ma Ford Ranger mnayakuza tu...hamna kitu , ni ya kawaida sana
Katika eneo la Trucks za kibongo mimi huwa namkubali sana Nissan NP300 au Navara. Performance wise ipo vizuri sana naweza kusema hivyo. ndio wanafuata hao akina HILUX, Ford, Sporteroo Mitsubishi, Isuzu dmax



 
Katika eneo la Trucks za kibongo mimi huwa namkubali sana Nissan NP300 au Navara. Performance wise ipo vizuri sana naweza kusema hivyo. ndio wanafuata hao akina HILUX, Ford, Spoteroo Mitsubishi, Isuzu dmax
Kuna nissan hard body hapa inapiga mzigo, hizo ford ranger wamenunuliwa ma manager lakini ni za kichovu sana na service zinapigwa kwa wakati
 
Sasa anapitwaje na 2.2l
Nimeendesha version zote mbili, experience ninayo kwenye Ranger zote 2.2l na 3.2l. 3.2l inachukua muda kuchanganya tofauti na hiyo 2.2l yaani kuchanganya ni dkk tu.
 
Hiyo 2.2l ranger unaweza ondokea hata ikiwa kwenye gear 2, ila hiyo 3.2 ni mpaka uivizie sana au labda mpaka urudi kwenye gear 1.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…