Forumjamii raha xana

Joined
Mar 23, 2017
Posts
56
Reaction score
24
Rejea kichwa hpo juu. Nshawai kujiunga ba magroup ya watsap karib ma4 yote nkfukuzwa et sababu creply cmc au nakuwa outs xana. Jaman hiv vyuma alafu uwe busy na social networks c utakula mawe. Humu forumjamii nafurahia xana coz hakuna mashart nagumu[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji7] [emoji7] [emoji8]
 
Forumjamii raha san mkuu,huku ni makavu live uwe na moyo wa chuma!
 
Tunawaandalia jukwaa lenu watoto, Jamii Kids Forum mcheze Huko , mrukeruke Na kufundishana papuchi inakaa sehemu gani
 
Mleta mada mbn unaandika mwandiko wa vitoto tena vibinti wkt we mtoto wa kiume bana..?? Utaandikaje XANA, CMC, etc..?? Huku upo na watu wazima na wanaojielewa. Hizo miandiko yenu peleka fb na magroup ya whatsapp ya shuleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…