ramadhan Mwesongo
Member
- Mar 23, 2017
- 56
- 24
Rejea kichwa hpo juu. Nshawai kujiunga ba magroup ya watsap karib ma4 yote nkfukuzwa et sababu creply cmc au nakuwa outs xana. Jaman hiv vyuma alafu uwe busy na social networks c utakula mawe. Humu forumjamii nafurahia xana coz hakuna mashart nagumu[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji7] [emoji7] [emoji8]