Samedi Amba JF-Expert Member Joined Nov 13, 2018 Posts 227 Reaction score 178 Sep 11, 2020 #1 Habari wanajamvi, Natumaini tuko salama. Bila kupoteza muda naomba kujua kama kuna mkeka (forum) ya wanavyuo, ambako wanashare fursa nk. Kama kuna anayefahamu, tuonane inbox.
Habari wanajamvi, Natumaini tuko salama. Bila kupoteza muda naomba kujua kama kuna mkeka (forum) ya wanavyuo, ambako wanashare fursa nk. Kama kuna anayefahamu, tuonane inbox.
Patiee JF-Expert Member Joined Sep 20, 2018 Posts 474 Reaction score 719 Sep 11, 2020 #2 Kidogo nifikiri umeanza fanyia kazi wazo langu.