Samedi Amba
JF-Expert Member
- Nov 13, 2018
- 227
- 178
Habari wanajamvi,
Natumaini tuko salama. Bila kupoteza muda naomba kujua kama kuna mkeka (forum) ya wanavyuo, ambako wanashare fursa nk. Kama kuna anayefahamu, tuonane inbox.