Wewe utakuwa chiz.i umetoroka MilembeNimeshangaa sana, kwani nimejaribu kusearch timu kibao za ndani na nje, ila kila nikisearch Yanga ili nitazame rates wanazompa King Mayele naona wanasema no suggestions.
Hii ina maana gani wakuu wangu? Sasa ntapata wapi rates za king mayele jamani?[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25].
Ina maana hata Mtibwa wanajulikana na Fotmob, ila timu ya sisi Wananchi haipo? Hawa Fotmob ni Simba tu hawa kama CAF tu. Ni hujumaaaaa!
View attachment 2577439
Sa ww unaitwa kitimoto utakuwa na akili kweli[emoji2]si kila kitu lazima uchukulie siriaziWewe utakuwa chiz.i umetoroka Milembe
View attachment 2577473
AhhahaaaMimi natambua kama unga, zamani kwenye njaa tuliletewa unga wa yanga
Nimeshangaa sana, kwani nimejaribu kusearch timu kibao za ndani na nje, ila kila nikisearch Yanga ili nitazame rates wanazompa King Mayele naona wanasema no suggestions.
Hii ina maana gani wakuu wangu? Sasa ntapata wapi rates za king mayele jamani?[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25].
Ina maana hata Mtibwa wanajulikana na Fotmob, ila timu ya sisi Wananchi haipo? Hawa Fotmob ni Simba tu hawa kama CAF tu. Ni hujumaaaaa!
View attachment 2577439
Ukilaza wako usiisingizie appTatizo yanga haipo??sa sjui hilo jina lina maana gn
Mimi natambua kama unga, zamani kwenye njaa tuliletewa unga wa yanga
Mi nmesechi yanga coz ndio jina lake,hilo lingine ni shobo zako za kigay gay tu