Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Iulize hiyo appMara ya mwisho kusema young afilika ni lini mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iulize hiyo appMara ya mwisho kusema young afilika ni lini mkuu?
Ukilaza wake anaisingizia aapYanga ndo nani kwani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huna akili.. Ni Young Africans.
Umejaribu kuandika utopolo ikashindikana ?Nimeshangaa sana, kwani nimejaribu kusearch timu kibao za ndani na nje, ila kila nikisearch Yanga ili nitazame rates wanazompa King Mayele naona wanasema no suggestions.
Hii ina maana gani wakuu wangu? Sasa ntapata wapi rates za king mayele jamani?[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25].
Ina maana hata Mtibwa wanajulikana na Fotmob, ila timu ya sisi Wananchi haipo? Hawa Fotmob ni Simba tu hawa kama CAF tu. Ni hujumaaaaa!
View attachment 2577439
DundukaNaona mnajaa wenyewe mi nmesema haitambui yanga fc,sijasema young africa,najua young africa ipo vzr tu.
Timu ya uchochoroniNimeshangaa sana, kwani nimejaribu kusearch timu kibao za ndani na nje, ila kila nikisearch Yanga ili nitazame rates wanazompa King Mayele naona wanasema no suggestions.
Hii ina maana gani wakuu wangu? Sasa ntapata wapi rates za king mayele jamani?[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25].
Ina maana hata Mtibwa wanajulikana na Fotmob, ila timu ya sisi Wananchi haipo? Hawa Fotmob ni Simba tu hawa kama CAF tu. Ni hujumaaaaa!
View attachment 2577439
Morogoro wilaya ya Kilombero kuna sehemu inaitwa siginali na wengine wanaita Ziginali. Lakini jina hilo limetokana na wazee wazamani kushindwa kutamka neno Signal. Hivyo hivyo kwa Yanga ni kutokana na wazee wazamani kushindwa kutamka Young Africans.Naona mnajaa wenyewe mi nmesema haitambui yanga fc,sijasema young africa,najua young africa ipo vzr tu.
Nimeshangaa sana, kwani nimejaribu kusearch timu kibao za ndani na nje, ila kila nikisearch Yanga ili nitazame rates wanazompa King Mayele naona wanasema no suggestions.
Hii ina maana gani wakuu wangu? Sasa ntapata wapi rates za king mayele jamani?[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25].
Ina maana hata Mtibwa wanajulikana na Fotmob, ila timu ya sisi Wananchi haipo? Hawa Fotmob ni Simba tu hawa kama CAF tu. Ni hujumaaaaa!
View attachment 2577439
Kolo we andika Young Africans.Nimeshangaa sana, kwani nimejaribu kusearch timu kibao za ndani na nje, ila kila nikisearch Yanga ili nitazame rates wanazompa King Mayele naona wanasema no suggestions.
Hii ina maana gani wakuu wangu? Sasa ntapata wapi rates za king mayele jamani?[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25].
Ina maana hata Mtibwa wanajulikana na Fotmob, ila timu ya sisi Wananchi haipo? Hawa Fotmob ni Simba tu hawa kama CAF tu. Ni hujumaaaaa!
View attachment 2577439
Mi mwenyewe ndo mana nashanga[emoji38][emoji38]Mara Young mara Yanga tuwaeleweje
Sasa..kuweni na jinsia moja..[emoji196][emoji196]
View attachment 2577540