Fotmob haitambui kitu kinaitwa Yanga SC

Fotmob haitambui kitu kinaitwa Yanga SC

Pole
IMG_20230405_171104.jpg
 
Nimeshangaa sana, kwani nimejaribu kusearch timu kibao za ndani na nje, ila kila nikisearch Yanga ili nitazame rates wanazompa King Mayele naona wanasema no suggestions.

Hii ina maana gani wakuu wangu? Sasa ntapata wapi rates za king mayele jamani?[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25].

Ina maana hata Mtibwa wanajulikana na Fotmob, ila timu ya sisi Wananchi haipo? Hawa Fotmob ni Simba tu hawa kama CAF tu. Ni hujumaaaaa!

View attachment 2577439
Umejaribu kuandika utopolo ikashindikana ?
 
Haya mods funga uzi,wamejaa wenyewe,jibu lilikuwa HAKUNA NENO YANGA BALI YOUNG AFRICA,#wenye akili ni wawili tu.
 
Nimeshangaa sana, kwani nimejaribu kusearch timu kibao za ndani na nje, ila kila nikisearch Yanga ili nitazame rates wanazompa King Mayele naona wanasema no suggestions.

Hii ina maana gani wakuu wangu? Sasa ntapata wapi rates za king mayele jamani?[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25].

Ina maana hata Mtibwa wanajulikana na Fotmob, ila timu ya sisi Wananchi haipo? Hawa Fotmob ni Simba tu hawa kama CAF tu. Ni hujumaaaaa!

View attachment 2577439
Timu ya uchochoroni
 
Naona mnajaa wenyewe mi nmesema haitambui yanga fc,sijasema young africa,najua young africa ipo vzr tu.
Morogoro wilaya ya Kilombero kuna sehemu inaitwa siginali na wengine wanaita Ziginali. Lakini jina hilo limetokana na wazee wazamani kushindwa kutamka neno Signal. Hivyo hivyo kwa Yanga ni kutokana na wazee wazamani kushindwa kutamka Young Africans.
 
Nimeshangaa sana, kwani nimejaribu kusearch timu kibao za ndani na nje, ila kila nikisearch Yanga ili nitazame rates wanazompa King Mayele naona wanasema no suggestions.

Hii ina maana gani wakuu wangu? Sasa ntapata wapi rates za king mayele jamani?[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25].

Ina maana hata Mtibwa wanajulikana na Fotmob, ila timu ya sisi Wananchi haipo? Hawa Fotmob ni Simba tu hawa kama CAF tu. Ni hujumaaaaa!

View attachment 2577439

unaumwa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Dar es salaam young africans
 
Nimeshangaa sana, kwani nimejaribu kusearch timu kibao za ndani na nje, ila kila nikisearch Yanga ili nitazame rates wanazompa King Mayele naona wanasema no suggestions.

Hii ina maana gani wakuu wangu? Sasa ntapata wapi rates za king mayele jamani?[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25].

Ina maana hata Mtibwa wanajulikana na Fotmob, ila timu ya sisi Wananchi haipo? Hawa Fotmob ni Simba tu hawa kama CAF tu. Ni hujumaaaaa!

View attachment 2577439
Kolo we andika Young Africans.
 
Back
Top Bottom