Humpendi yule aliyeko mkoani
haapa umeliwa dada yangu, huyo ndie mwanaume halisi, he knows how to grab your mind, akijilia ndio utaelewa kwanini nakuambia umeliwa
wewe mgeni wa mapenzi eeh?! Unategemea awe mbali wakati bado hajafaidi tunda, hata ukitaka kwenda Brunei nina uhakika atakupeleka
hapa bado hujashtuka tu dada mapaka upigiwe king'ora cha zimamoto😛ound:
hapa ushauri wa nini sasa kama hutaki kumpoteza? Umejichanganya
Ndio umeshamsaliti sasa au maana ya kumsaliti kwako imekaaje dada?
Kama hauna msimamo hata ukikaa na huyu utakuja kumpata mwingine na utasema hivi hivi, acha umbayu mbayu kuwa na msimamo
Narudia tena weewe ni mgeni wa mapenzi jfunze kwanza kabla ya kukurupuka au kukurupushwa, utakuja juta ukose wa kumlilia, JF hatupokei vilio vya kizembe bana
Ushauri wangu: Nakushauri uwe na msimamo na huyo wa mpenzi wako maana hakuna sababu ya msingi uliyotoa kuonyesha kuwa zinamtoa kwenye mahusiano na wewe. Kikubwa wewe ni maimuna wa mapenzi na umeghilibika na huo ukaribu na hizo caring za huto mfanyakazi wako wa karibu ambazo kwa uzoefu wangu ni za muda tu, hazina maisha ya kudumu
Kama unataka kumuacha huyo aliyeko mkoani toa sababu zenye mashiko:A S-eek:[/QUOTE
Makoyo,thanks nimepitia ushauri wako kuanzia mwanzo mpaka mwisho,i think have no comments nitaufanyia kazi,lakini kuhusu hapo nlipobold huna uhakika,kama ingekuwa hivyo basi wanaume wote wanaotoka nje ya ndoa zao ni maimuna wa mapenzi,najua kuna kujicontrol lakini sio useme wewe tangu ujue mapenzi umependa mtu mmoja tu mpaka sasa. thanx kwa ushauri wako.