umeshaongea nae kuhusu hich kipande blue, na yeye hayupo tayari kukupoteza? mapenzi ya mbali ni magumu sana, uongo mwingi/kudanganyana tu...umesham cheat mchumba wako, na huyo kaka nae kam cheat mchumba wae, cjui hao waliopo mbali na nyie inakuwaje tena...mambo mzunguko jamani.
Hawa ndio walewale ambao wanakutwa wamekunywa sumu au wamejitundika ndani ya room zao bila kuacha ujumbe wowote! dada chunga sana acha kuwa mshamba wa mapenzi! ushaingizwa mjini wewe hujui wanaume siku hizi nao wamekuwa wategemezi shauri yako Jamaa huyu wa ofisi ya karibu ameshapiga mahesabu akajua loo ulaji upo kama ni bachelor jioni ana uhakika wa kupata msosi na vitu vingine kwa hiyo kuwa makini! vijana wa siku hizi wanajifanya wanakupenda ili wakutumie tuu kifananciachee shauri yako...we hujiulizi hiyo miaka miwili na nusu upo na huyo mchumba wako umeweza kuvumilia kwa nini usisubiri ummalizie ngombe mkia! halafu huo uchumba wa miaka miwili mnasubiri nini kwa nini msioane au bado mnasomana tabia...shauri yako utakosa yote....
Humpendi yule aliyeko mkoani
haapa umeliwa dada yangu, huyo ndie mwanaume halisi, he knows how to grab your mind, akijilia ndio utaelewa kwanini nakuambia umeliwa
wewe mgeni wa mapenzi eeh?! Unategemea awe mbali wakati bado hajafaidi tunda, hata ukitaka kwenda Brunei nina uhakika atakupeleka
hapa bado hujashtuka tu dada mapaka upigiwe king'ora cha zimamoto😛ound:
hapa ushauri wa nini sasa kama hutaki kumpoteza? Umejichanganya
Ndio umeshamsaliti sasa au maana ya kumsaliti kwako imekaaje dada?
Kama hauna msimamo hata ukikaa na huyu utakuja kumpata mwingine na utasema hivi hivi, acha umbayu mbayu kuwa na msimamo
Narudia tena weewe ni mgeni wa mapenzi jfunze kwanza kabla ya kukurupuka au kukurupushwa, utakuja juta ukose wa kumlilia, JF hatupokei vilio vya kizembe bana
Ushauri wangu: Nakushauri uwe na msimamo na huyo wa mpenzi wako maana hakuna sababu ya msingi uliyotoa kuonyesha kuwa zinamtoa kwenye mahusiano na wewe. Kikubwa wewe ni maimuna wa mapenzi na umeghilibika na huo ukaribu na hizo caring za huto mfanyakazi wako wa karibu ambazo kwa uzoefu wangu ni za muda tu, hazina maisha ya kudumu
Kama unataka kumuacha huyo aliyeko mkoani toa sababu zenye mashiko:A S-eek:[/QUOTE
Makoyo,thanks nimepitia ushauri wako kuanzia mwanzo mpaka mwisho,i think have no comments nitaufanyia kazi,lakini kuhusu hapo nlipobold huna uhakika,kama ingekuwa hivyo basi wanaume wote wanaotoka nje ya ndoa zao ni maimuna wa mapenzi,najua kuna kujicontrol lakini sio useme wewe tangu ujue mapenzi umependa mtu mmoja tu mpaka sasa. thanx kwa ushauri wako.
Na ninaomba nieleweke niko na mchumba wangu kwa miaka miwili na nusu sasa na sijawahi kumsaliti kwa mwanaume yoyote zaidi ya huyu.
Na wanaume wa kibongo wakoje? na huyo wa kwako ni wa kichina au?
jiangalie sana BINAMU!SHAURILO....!
kuna mwenzio mmoja alishtuka wakati ''ANA MIMBA''!na jamaa ake yupo YUROPU anazitafuta!.......!
haya mambo pale yudisimu ni ''kawaida sana'' lakini
NDO WANAWAKE WA KI-BONGO MLIVYO!
Aaha hapo sidhani kama pana ukweli sio wanawake woote wa Bongo wako hvo me mbona wangu yuko Zurich na nina msubiri nacja msaliti? na yeye anajua hilo?
hapo dada kashaingia mkenge. Ni ushindi mkubwa kwa mwanaume kumchanganya mdada kiasi hicho ila mimi naongea kwa uzoefu wangu kuhusu kula mizigo, ni kwamba kama mtu una mtu wako mbali utakuta unatafuta mzigo mwingine ili usogeze siku sasa unakuta demu anakolea kabisa kumbe umemweka kama poozeo tu kojoleo likipata hamu
Angalizo hapa kwa dada yangu ni kwamba endelea kula tunda ila jua wazi huyo jamaa anakutumia tu hana future na ww utakuja kugundua baadae
Hawa ndio walewale ambao wanakutwa wamekunywa sumu au wamejitundika ndani ya room zao bila kuacha ujumbe wowote! dada chunga sana acha kuwa mshamba wa mapenzi! ushaingizwa mjini wewe hujui wanaume siku hizi nao wamekuwa wategemezi shauri yako Jamaa huyu wa ofisi ya karibu ameshapiga mahesabu akajua loo ulaji upo kama ni bachelor jioni ana uhakika wa kupata msosi na vitu vingine kwa hiyo kuwa makini! vijana wa siku hizi wanajifanya wanakupenda ili wakutumie tuu kifananciachee shauri yako...we hujiulizi hiyo miaka miwili na nusu upo na huyo mchumba wako umeweza kuvumilia kwa nini usisubiri ummalizie ngombe mkia! halafu huo uchumba wa miaka miwili mnasubiri nini kwa nini msioane au bado mnasomana tabia...shauri yako utakosa yote....
I wish i could knew him before,cause its like i found a real love when its too late,hata yeye pia ana apprecite sana for this love.
Ukibanwa na ukakasi huwa unautoaje?