Found a real love when its too late.

Moyo mdanganyifu hupenda visiyoruhusiwa. Mfuate mchumba wako au mwambie rasmi unamwacha. Je huyo mvulana naye yuko tayari kuvunja uchumba?
 

thats why I dont trust a woman... unasema huwezi kumuacha then unataka tukushauri nini!!!!! the time umeacha na huyo bwana wako wa mbali ndio utaujua vizuri side B ya huyo jamaa mpya keep it up!!! hii ni Ifidelity kwa mwanamke WTF!!!!!!!!1
 
Just check on the 80%-20% rule! Ukijikuta uko pazuri do whatever your heart tells you after all its your life.......
 
even though most of you guys u dont believe in distance love but real it exist
mtu kama unampenda haijalishi yu wapi au lah na nakuhahakikishia kuwa hata ukienda kwa huyo met wako huta msahau yule wa mbali kwani kati ya wawili hawammoja utampenda just for spending na mwingine ytampenda kwa maisha lakini kumbuka kuwa heart desire and body desire are two things different but i disagree to agree
think twice
cheating is allowed but not accepted ehhhhhh
valex
 
ULIVYOMTENDA mchumba wako na mchumba wa huyo boyfriend wako, NDIVYO UTAKAVYOTENDWA pia, malipo hapahapa duniani, subiri utayaona!!!!
 
uchumba sio ndoa! kufall kwa mwingine c kitu cha ajabu, mtaarifu mchumba wako wa zamani ili muachane kwa amani.
 
..........yupo tayari kwa lolote na muda wowote nitakaomhitaji hasa kama nina shida,............
....Hapo tuu, tayari ushaonyesha udhaifu wako, kuwa unampenda kwasababu anakusaidia unapokuwa na shida!...Atakapokuwa hana fedha naogopa utammwagia mbali..Achana nae huyu..si wako.
 
kama kweli umehakikisha mnapendana kwa dhati, na huyu kaka kakuhakikishia kuwa naye yuko tayari kuuachana na huyo mchumba wake, mi nakushauri achan na mchumaba ako muanze na huyu wa pili. ni kweli watu maranyingi yunaingia kwenye mahusiano hadi ndoa tukidhani ni true love kumbe sivyo na kutufanya tuumie milele au ndoa kuvunjika. may be he is u man, make it, but be very sure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…