Objectives: Kuinua Teknolojia Tanzania kwa kuwasaidia Wana Teknohama wa hapa kwetu kwa namna mbalimbalikaka samahani OBJECTVICES za hiyo foundation ni nini?plz ziweke hapo ili tuweze kujua na hiyo foundation profitable au nonprofitable. then tutakupa taratibu
Mnaweza sajili Non Profit Company, hii huwa ni Kampuni kamali lakini haina Share, na mara nyingi iko kwenye kundi la NGOs na baadhi ya NGOs ambazo zina operate kama hivyo ni RLDC Ltd, PSAA Ltd, FAIDAMALI co Ltd hizi zote ni NGOs ila zimesajili kama kampuni