Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,167
- 5,613
Wapendwa Wataalam,
Saalam!
Napenda kujuzwa namna gani naweza tengeneza Foundation Ikawa chini ya Usimamizi wa Kampuni Binafsi.
Mapato na matumiz na hata kama faida hayataingiliana na Foundation. Nataka kampuni isimamie tu malengo ya hiyo foundation na funds zake.
Je inahitaji iwe registered kama NGO? Au inakuwaje kisheria?
Shukrani!
BH