Queen Horse JF-Expert Member Joined Sep 12, 2013 Posts 414 Reaction score 317 Aug 22, 2021 #1 Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania, Wapendwa naomba msaada wa kujua foundation powder nzuri kwa sie wenye ngozi za kiafrika,gharama zake na sehemu nayoweza kupata bidhaa hiyo.. Shukran
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania, Wapendwa naomba msaada wa kujua foundation powder nzuri kwa sie wenye ngozi za kiafrika,gharama zake na sehemu nayoweza kupata bidhaa hiyo.. Shukran
Vi rendra JF-Expert Member Joined Sep 11, 2017 Posts 3,271 Reaction score 5,617 Aug 22, 2021 #2 Bajeti yako bei gani? mana vinaanzia ef2 mpaka Laki2 huko Sent using Jamii Forums mobile app
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Aug 23, 2021 #3 Vi rendra said: Bajeti yako bei gani? mana vinaanzia ef2 mpaka Laki2 huko Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hivi vya buku mbili ndio vinafanyaga watu wawe kama wameanguka kwenye matope
Vi rendra said: Bajeti yako bei gani? mana vinaanzia ef2 mpaka Laki2 huko Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hivi vya buku mbili ndio vinafanyaga watu wawe kama wameanguka kwenye matope
Vi rendra JF-Expert Member Joined Sep 11, 2017 Posts 3,271 Reaction score 5,617 Aug 23, 2021 #4 Evelyn Salt said: Hivi vya buku mbili ndio vinafanyaga watu wawe kama wameanguka kwenye matope Click to expand... Hivyo hivyo yani kama tope vile na skuizi kila mtu mpambaji
Evelyn Salt said: Hivi vya buku mbili ndio vinafanyaga watu wawe kama wameanguka kwenye matope Click to expand... Hivyo hivyo yani kama tope vile na skuizi kila mtu mpambaji
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Aug 23, 2021 #5 Vi rendra said: Hivyo hivyo yani kama tope vile na skuizi kila mtu mpambaji Click to expand... Yani katika vitu vilivyonishinda chini ya hili jua kupaka make up ni kimoja wapo.... Unakuta mwanamke kajisiliba mi make up hadi macho yamekua mekundu
Vi rendra said: Hivyo hivyo yani kama tope vile na skuizi kila mtu mpambaji Click to expand... Yani katika vitu vilivyonishinda chini ya hili jua kupaka make up ni kimoja wapo.... Unakuta mwanamke kajisiliba mi make up hadi macho yamekua mekundu