Foundation powder nzuri kwa black skin

Foundation powder nzuri kwa black skin

Queen Horse

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2013
Posts
414
Reaction score
317
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania, Wapendwa naomba msaada wa kujua foundation powder nzuri kwa sie wenye ngozi za kiafrika,gharama zake na sehemu nayoweza kupata bidhaa hiyo.. Shukran
 
Hivyo hivyo yani kama tope vile na skuizi kila mtu mpambaji
Yani katika vitu vilivyonishinda chini ya hili jua kupaka make up ni kimoja wapo....
Unakuta mwanamke kajisiliba mi make up hadi macho yamekua mekundu
 
Back
Top Bottom