Fountain Gate Academy ni mfano wa shule za kuchukuliwa hatua

Hii Shule kwenye matawi yake yote ya Dar na Dodoma wanalazimisha watoto wa darasa la 4 na 7 kuanza masomo saa 12 asubuhi na wanamaliza kusoma saa 11 na nusu jioni. Yaani watoto wadogo wa miaka 7 au 8 wanasoma kwa masaa 11 na nusu kwa siku. Sijui kama kuna maana nyingine zaidi ya kuwanyanyasa watoto.

Hivi kuna hata chuo kikuu mwanafunzi anasoma masaa 11 na nusu kwa siku?

Kibaya zaidi, hakuna option ya school bus kwa watoto wa darasa la 4 na 7, maana wanataka lazima mzazi umlete mtoto shule na urudi kumfuata hiyo jioni. Wanafanya hivyo ili mzazi aone ratiba na gharama ni ngumu na hivyo ni kama wanalazimisha mtoto apelekwe boarding, wana boarding ambayo ada inaongezeka toka Tshs 2.2M kwenda Tshs 4.4M. Yaani kuongeza kipato kwa shule ndio malengo makuu bila kujali usumbufu kwa watoto. Mabweni yao yenyewe wala hayako maeneo ya shule, kama shule ya Dar, shule ipo Tabata Barakuba ila Mabweni yako Kinyerezi.

Mabadiriko ya utaratibu mzazi unaambiwa tayari mtoto akiwa darasa la Nne, yaani wakati anasoma la 1 hakuna sehemu wanasema akifika la 4 hatatumia school bus na atasoma kwa masaa 11 na nusu.

Malalmiko yako mengi toka kwa wazazi na shule ziko nyingi zinazofanya kinyume na maelekezo ya wizara ya Elimu lakini hakuna hatua sheria inachukua, hata ya kuwakemea tu, ipo kimya.

Haya: Ongeza orodha ya shule zingine zenye haya matatizo

Cc Joannah
 
Kama hizo stori ni za kweli nawapongeza sana😍😍😍.

Hivyo ndio inapaswa kua, serikali ina la kujifunza hapa, ndio maana shule nyingi za serikali zinashika mikia mbali na kujifanya watoto wanasoma masaa machache nini utofauti wa watoto hao kusoma masaa machache?

Mazero yamejaa shule za serikali ni aibu tupu na fedhea!
Wazazi hawana muda wa kufuatilia watoto mwalimu anafundisha bora liende sababu ya miundombinu mibovu, hakuna marupurupu yaani hovyo hovyo.

Wazazi pambaneni mpeleke watoto private bora ule matembele mtoto asome pazuri shule za serikali ni uozo mtupu.

Wacha watu wanaolipwa wafanye kazi yao.

Kama ni kweli Hongera sana 😍😍😍😍
 
Wazazi aina yako ni mzigo kwa Taifa. Aidha una mchango mdogo sana ama huna kabisa kwenye Taifa.

Ni utaratibu, sheria, miongozo ama waraka gani wa elimu unaruhusu mtoto kusoma zaidi ya masaa 11?

Shule inaweza kuwa na utaratibu fulani ila usiovuka sheria,taratibu, kanuni na muongozo. Kufanya jambo nje ya hayo ni uvunjifu wa sheria.
Kama wewe ni mzazi wa mmoja wa hao watoto ..wise choice toa Toto yako hapo peleka shule za serikali akasome saa mbili mpaka saa sita 😀😀 ili kuepusha baadhi ya malalamiko yasiyo na maana
 
Hii Shule kwenye matawi yake yote ya Dar na Dodoma wanalazimisha watoto wa darasa la 4 na 7 kuanza masomo saa 12 asubuhi na wanamaliza kusoma saa 11 na nusu jioni. Yaani watoto wadogo wa miaka 7 au 8 wanasoma kwa masaa 11 na nusu kwa siku. Sijui kama kuna maana nyingine zaidi ya kuwanyanyasa watoto.

Hivi kuna hata chuo kikuu mwanafunzi anasoma masaa 11 na nusu kwa siku?

Kibaya zaidi, hakuna option ya school bus kwa watoto wa darasa la 4 na 7, maana wanataka lazima mzazi umlete mtoto shule na urudi kumfuata hiyo jioni. Wanafanya hivyo ili mzazi aone ratiba na gharama ni ngumu na hivyo ni kama wanalazimisha mtoto apelekwe boarding, wana boarding ambayo ada inaongezeka toka Tshs 2.2M kwenda Tshs 4.4M. Yaani kuongeza kipato kwa shule ndio malengo makuu bila kujali usumbufu kwa watoto. Mabweni yao yenyewe wala hayako maeneo ya shule, kama shule ya Dar, shule ipo Tabata Barakuba ila Mabweni yako Kinyerezi.

Mabadiriko ya utaratibu mzazi unaambiwa tayari mtoto akiwa darasa la Nne, yaani wakati anasoma la 1 hakuna sehemu wanasema akifika la 4 hatatumia school bus na atasoma kwa masaa 11 na nusu.

Malalmiko yako mengi toka kwa wazazi na shule ziko nyingi zinazofanya kinyume na maelekezo ya wizara ya Elimu lakini hakuna hatua sheria inachukua, hata ya kuwakemea tu, ipo kimya.

Haya: Ongeza orodha ya shule zingine zenye haya matatizo.
Hamisha mwanao hela yako imtesa tena mwanao, huo ujinga sifanyagi mimi.
 
Mkuu ni kitendo cha wewe kuachana na hiyo shule na kumtafutia mtoto shule nyingine. hakuna haja ya kuumiza kichwa kwa vitu vyenye machaguo kadha wa kadha
 
Hii Shule kwenye matawi yake yote ya Dar na Dodoma wanalazimisha watoto wa darasa la 4 na 7 kuanza masomo saa 12 asubuhi na wanamaliza kusoma saa 11 na nusu jioni. Yaani watoto wadogo wa miaka 7 au 8 wanasoma kwa masaa 11 na nusu kwa siku. Sijui kama kuna maana nyingine zaidi ya kuwanyanyasa watoto.

Hivi kuna hata chuo kikuu mwanafunzi anasoma masaa 11 na nusu kwa siku?

Kibaya zaidi, hakuna option ya school bus kwa watoto wa darasa la 4 na 7, maana wanataka lazima mzazi umlete mtoto shule na urudi kumfuata hiyo jioni. Wanafanya hivyo ili mzazi aone ratiba na gharama ni ngumu na hivyo ni kama wanalazimisha mtoto apelekwe boarding, wana boarding ambayo ada inaongezeka toka Tshs 2.2M kwenda Tshs 4.4M. Yaani kuongeza kipato kwa shule ndio malengo makuu bila kujali usumbufu kwa watoto. Mabweni yao yenyewe wala hayako maeneo ya shule, kama shule ya Dar, shule ipo Tabata Barakuba ila Mabweni yako Kinyerezi.

Mabadiriko ya utaratibu mzazi unaambiwa tayari mtoto akiwa darasa la Nne, yaani wakati anasoma la 1 hakuna sehemu wanasema akifika la 4 hatatumia school bus na atasoma kwa masaa 11 na nusu.

Malalmiko yako mengi toka kwa wazazi na shule ziko nyingi zinazofanya kinyume na maelekezo ya wizara ya Elimu lakini hakuna hatua sheria inachukua, hata ya kuwakemea tu, ipo kimya.

Haya: Ongeza orodha ya shule zingine zenye haya matatizo.
Hamisha mtoto wako, mambo yasiwe mengi
 
Wazazi aina yako ni mzigo kwa Taifa. Aidha una mchango mdogo sana ama huna kabisa kwenye Taifa.

Ni utaratibu, sheria, miongozo ama waraka gani wa elimu unaruhusu mtoto kusoma zaidi ya masaa 11?

Shule inaweza kuwa na utaratibu fulani ila usiovuka sheria,taratibu, kanuni na muongozo. Kufanya jambo nje ya hayo ni uvunjifu wa sheria.
Acha kelele, kuwa responsible, hamisha mtoto wako mpeleke shule unayoona inafaa, kama unataka asome evening studies mtafutie, mbna mnataka sana kuweka sheria zenu kwenye kazi za watu wengine? Mnapenda matokeo yao ila hamtaki mbinu wanazotumia si ndio?
 
Serikali ilivyoweka muda wa masomo kuanzia saa mbili asubuhi hadi nane na nusu mchana hawakuona umuhimu wa kusoma?

Kama mtoto wako ni kilaza hata asome 24/7 kwa mwaka hawezi kuelewa. Ifike mahali wazazi aina yenu mnao support unyanyasaji wa watoto mfutwe kwenye nchi hii.

Heri kuwa na idadi chache ya watu wenye uelewa wa mambo kuliko kuwa na idadi kubwa ya watu wasio na faida yoyote.
Wew ndio huna akili, kwa kumpeleka mtoto kwenye shule unayoona haifai, upo very irresponsible, hamisha mtoto peleka shule ya serikali ambayo wanaingia saa 2 wanatoka saa 6, problem solved, kwann uanze kuhangaika na watu walioweka sheria zao kwenye pvt schools, ? Wamekulazimisha kusoma hapo?
 
Hii Shule kwenye matawi yake yote ya Dar na Dodoma wanalazimisha watoto wa darasa la 4 na 7 kuanza masomo saa 12 asubuhi na wanamaliza kusoma saa 11 na nusu jioni. Yaani watoto wadogo wa miaka 7 au 8 wanasoma kwa masaa 11 na nusu kwa siku. Sijui kama kuna maana nyingine zaidi ya kuwanyanyasa watoto.

Hivi kuna hata chuo kikuu mwanafunzi anasoma masaa 11 na nusu kwa siku?

Kibaya zaidi, hakuna option ya school bus kwa watoto wa darasa la 4 na 7, maana wanataka lazima mzazi umlete mtoto shule na urudi kumfuata hiyo jioni. Wanafanya hivyo ili mzazi aone ratiba na gharama ni ngumu na hivyo ni kama wanalazimisha mtoto apelekwe boarding, wana boarding ambayo ada inaongezeka toka Tshs 2.2M kwenda Tshs 4.4M. Yaani kuongeza kipato kwa shule ndio malengo makuu bila kujali usumbufu kwa watoto. Mabweni yao yenyewe wala hayako maeneo ya shule, kama shule ya Dar, shule ipo Tabata Barakuba ila Mabweni yako Kinyerezi.

Mabadiriko ya utaratibu mzazi unaambiwa tayari mtoto akiwa darasa la Nne, yaani wakati anasoma la 1 hakuna sehemu wanasema akifika la 4 hatatumia school bus na atasoma kwa masaa 11 na nusu.

Malalmiko yako mengi toka kwa wazazi na shule ziko nyingi zinazofanya kinyume na maelekezo ya wizara ya Elimu lakini hakuna hatua sheria inachukua, hata ya kuwakemea tu, ipo kimya.

Haya: Ongeza orodha ya shule zingine zenye haya matatizo.
Wewe ni mpumbavu.

Suluhisho ni rahisi tu hapo, hamisha mtoto wako ,hujalazimishwa na shule zipo nyingi.

Serikali inamambo mengi ya msingi ya kuyafanya
 
Sio hao tu, shule kibao za binafsi naona zimeona hiyo ndio trend kwa sasa, sijui ni miongozo ipi ya wizara husika inayowapa nafasi ya kufanya hivyo!

Yaani shule zimekuwa zikiumiza watoto, ili zenyewe zipaishe majina yao kwa kuwa na ufaulu mzuri wa kulazimisha...

Hivi mtihani wa darasa la 4 kweli ndio wa kusomesha watoto kama wanatafuta ajira NASA!
Mpeleke Kayumba kama unaona mwanao anateseka.

Kule Kayumba ni kawaida hata wiki nzima kutosoma somo hata moja.
 
Kuna shule ipo Mtwango Njombe inaitwa God Given Primary inalazimisha wazazi kupeleka watoto wa darasa la nne boarding wakati maelezo ya wizara boarding zianze kuanzia watoto wa darasa la tano.
Hamisha mtoto wako umpeleke shule wanazofuata muongozo wa wizara.
 
Wazazi aina yako ni mzigo kwa Taifa. Aidha una mchango mdogo sana ama huna kabisa kwenye Taifa.

Ni utaratibu, sheria, miongozo ama waraka gani wa elimu unaruhusu mtoto kusoma zaidi ya masaa 11?

Shule inaweza kuwa na utaratibu fulani ila usiovuka sheria,taratibu, kanuni na muongozo. Kufanya jambo nje ya hayo ni uvunjifu wa sheria.
Umelazimishwa?
 
Huwa kuna vikao vya wazazi je wanawasilishaga hii hoja huko shuleni maana kulalamika kwao pembeni wahusika kufikisha kwenye mamlaka haitasaidia.
Shule ikiwa ya private ukiona kuna vitu haupendezwi navyo unahamisha mtoto wako tu wala haina haja ya kupata stress ulipe ada kwa shida bado usumbuke na vitu vingine shule zipo nyingi sana.
Well said.
 
Back
Top Bottom