Fountain Gate Academy ni mfano wa shule za kuchukuliwa hatua


Cc Joannah
 
Kama hizo stori ni za kweli nawapongeza sana😍😍😍.

Hivyo ndio inapaswa kua, serikali ina la kujifunza hapa, ndio maana shule nyingi za serikali zinashika mikia mbali na kujifanya watoto wanasoma masaa machache nini utofauti wa watoto hao kusoma masaa machache?

Mazero yamejaa shule za serikali ni aibu tupu na fedhea!
Wazazi hawana muda wa kufuatilia watoto mwalimu anafundisha bora liende sababu ya miundombinu mibovu, hakuna marupurupu yaani hovyo hovyo.

Wazazi pambaneni mpeleke watoto private bora ule matembele mtoto asome pazuri shule za serikali ni uozo mtupu.

Wacha watu wanaolipwa wafanye kazi yao.

Kama ni kweli Hongera sana 😍😍😍😍
 
Kama wewe ni mzazi wa mmoja wa hao watoto ..wise choice toa Toto yako hapo peleka shule za serikali akasome saa mbili mpaka saa sita 😀😀 ili kuepusha baadhi ya malalamiko yasiyo na maana
 
Hamisha mwanao hela yako imtesa tena mwanao, huo ujinga sifanyagi mimi.
 
Mkuu ni kitendo cha wewe kuachana na hiyo shule na kumtafutia mtoto shule nyingine. hakuna haja ya kuumiza kichwa kwa vitu vyenye machaguo kadha wa kadha
 
Hamisha mtoto wako, mambo yasiwe mengi
 
Acha kelele, kuwa responsible, hamisha mtoto wako mpeleke shule unayoona inafaa, kama unataka asome evening studies mtafutie, mbna mnataka sana kuweka sheria zenu kwenye kazi za watu wengine? Mnapenda matokeo yao ila hamtaki mbinu wanazotumia si ndio?
 
Wew ndio huna akili, kwa kumpeleka mtoto kwenye shule unayoona haifai, upo very irresponsible, hamisha mtoto peleka shule ya serikali ambayo wanaingia saa 2 wanatoka saa 6, problem solved, kwann uanze kuhangaika na watu walioweka sheria zao kwenye pvt schools, ? Wamekulazimisha kusoma hapo?
 
Wewe ni mpumbavu.

Suluhisho ni rahisi tu hapo, hamisha mtoto wako ,hujalazimishwa na shule zipo nyingi.

Serikali inamambo mengi ya msingi ya kuyafanya
 
Mpeleke Kayumba kama unaona mwanao anateseka.

Kule Kayumba ni kawaida hata wiki nzima kutosoma somo hata moja.
 
Kuna shule ipo Mtwango Njombe inaitwa God Given Primary inalazimisha wazazi kupeleka watoto wa darasa la nne boarding wakati maelezo ya wizara boarding zianze kuanzia watoto wa darasa la tano.
Hamisha mtoto wako umpeleke shule wanazofuata muongozo wa wizara.
 
Umelazimishwa?
 
Well said.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…