Sawa tumesha jua uko north america ok cresta gx ina cylinder 6 na ina cc 1998 sema kingineSijawahi Kuona Gari ya 6cylinders ikawa Na 2000cc. Huku north America Gari zote za V6 zinaanzia 3000cc hadi 4200cc. Wanajuwa zaidi fafanueni
Kwa nini isiwezekane ndugu? Usitoe majibu mepesi kwa maswali magumucc maana yake ni cubic capacity,ukubwa wa hizo cylinder ambako piston zinawekwa. cylinder chache ziwe na cubic capacity sawa na cylinder nyingi sijaelewa au naweza sema haiwezekani
Du!. Maajabu hayo ya mjapani. .mbona umeongea kwa majungu njomba! Hata na wewe unaweza kuja huku. .mfuko wako tu. ...sema kingine!Sawa tumesha jua uko north america ok cresta gx ina cylinder 6 na ina cc 1998 sema kingine