Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Hasty generalizations and Unwarranted assumptions.
Swala la serikali kuwa na ndege ni vipaumbele vya mtu tu,ndio maana taifa kama US na mengine mengi hakuna national airlines bali yameachia sekta binafsi hiyo biashara.
Swala la mgao wa umeme unafahamu chanzo chake ilikuwa ni nini wakati huo,Ukame.
Mapato ya serikali yamekuwa yakipanda tangu nchi hii inapata uhuru na kila awamu yamepanda.
Mengine yote yaliyobaki ungetoa takwimu angalau kidogo ungeeleweka na ungewezwa kujibiwa hoja zako.

Mkubwa swale zuri sana. Chama chake ... ni point nzuri. Alikuwa waziri ndani ya serikali ya chama chale....pia swali zuri. Ila ukiangalia Tanzania ya kabla yake na ya sasa kuna mengi sana yamebadilika. Tukikuwa na ndege ngapi 2015? Tulikuwa na dawa za kulevya kiasi gani mwaka 2015? Tulikuwa na zahanati na vitro via afya vingapi 2015? Tulikuwa na ubabaishaji kiasi gani maofisini 2015? Sisi tunaoishi uswahilini hata maji ilikuwa mgogoro wa mwezi mzima, lakini siku hizi walau tunapata mara tatu kwa wiki. Umeme wa mgao bado mkali kama zamani? .... makusanyo na mapato ya serikali yalikuwaje na yakoje. Ukiangalia ni chama kilekile, ni serikali ile ile, lakini tunaona mwelekeo tofauti kabisa wa utendaji....haya mengi yanajieleza.