Four Years Later: My Reflection on President Magufuli: A Double Measure of Boldness and Dare

Hasty generalizations and Unwarranted assumptions.
Swala la serikali kuwa na ndege ni vipaumbele vya mtu tu,ndio maana taifa kama US na mengine mengi hakuna national airlines bali yameachia sekta binafsi hiyo biashara.
Swala la mgao wa umeme unafahamu chanzo chake ilikuwa ni nini wakati huo,Ukame.
Mapato ya serikali yamekuwa yakipanda tangu nchi hii inapata uhuru na kila awamu yamepanda.
Mengine yote yaliyobaki ungetoa takwimu angalau kidogo ungeeleweka na ungewezwa kujibiwa hoja zako.
 
Absolutely, I do. Wakati wa JK tulikuwa tunawang'ang'ania hawa watu na tukawawajibisha hata kama JK hakupenda. Au mmesahau kabisa ile "ajali ya kisiasa"? Tukimnyoshea kidole Rais basi iwe jambo ambalo ni airtight.
Hapana. Mfano wako haustahili kabisa.
Sijaona alichofanya Majaliwa kama waziri Mkuu unachoweza kukifananisha na yaliyokuwa yakifanywa na mawaziri wa Kikwete. In fact, kama hali ingekuwa inaruhusu, Kassim ndiye aliyestahili kukaa pale juu,kwa sababu mbalimbali ambazo sitaki kuziandika hapa.
Kwa hiyo, hiyo 'justification' yako naikataa katakata.
 
Thanks, mkuu Bungua..., for this comprehensive quote.
To me, this encapsulates everything we are witnesses of in our contemporary Tanzania.
 
Mtu anatwaa pesa Hazina kwenda kulipa wakulima wa korosho bila uwepo wa bajeti ya bunge iliyoidhinisha pesa hiyo shilingi Bilion 40, Halafu mtu anakuja anasema mtu huyo is doing a fantastic job! .

Mkuu are you pro rule of law au uko for the banana republic?

Kwani Wakulima waliiuzia serikali korosho?

Yaani mtu anafidia makosa ya maamuzi yake tenge kupitia kodi za wananchi na tena bila bajeti iliyopitishwa na bunge halafu unasifu namna nchi inavyoendeshwa?

Hizo pesa ilibidi zikaombwe bungeni lakini pia ikiambatana na yeye aliyesababisha hili tatizo akiwajibika.
Now anaweza asiwajibike but oneday atawajibika kwa maamuzi yale ya kuumoza wakulima na mengineyo mengi!
 
you're really a missile of the nation! watanzania wamelogwa na kulogeka. mtu akikutumia leo kwa faida yako kuna siku mtu huyohuyo atakutumia wewe huyohuyo kwa faida yake! leo amechota akanunua ndege bila kasima iliyopitishwa na bunge, tukachekelea. akazama tena kwemye
 
Anapenda sana kuhusisha Jeshi kwenye madudu yake ili kujiweka salama.

Yaani sijui ni nani alimwambia hasa anaweza kuwa rais.
 
Thanks, mkuu Bungua..., for this comprehensive quote.
To me, this encapsulates everything we are witnesses of in our contemporary Tanzania.
of course, yes, we are witnesses. and ironically as mere spectators.
 
This thread was so serious until you made me laugh.
Are you dreaming?
 

But who cares, hao wanaojiita wa mjini look at what they have done, hata walio-complicated look at what they have done. Ni wa mjini kuvaa suti tu, they have not accomplished anything tangible. Nchi yetu imeporomoka sana kwenye mikono yao and we turned to a laughing stock. Miaka hii minne ya magufuli tunaona mabadiliko na mwelekeo wa maana. So the question is, what does being elite mean if you can not deliver or accomplish a thing? And what does mshamba mean if you can accomplish things?

Kwa sisi walala hoi, mshamba au wa mjini sio issue, kudeliver ndio issue.
 
laughing stock? locally or internationally? tunanunua ndege by cash, kufungua nyerere house addis ababa kuongea bila mkalimani akiwepo mkalimani, kampala kujibu swali out of context, kuongea kiswahili harare, kuwa na watu wasiojulikana miaka minne, kujenga ukuta mirerani bila detector mlangoni, kushinda uwanja wa ndege kusubiri ndege zisizokuwa mpya, kutoa tausi, kununua vichwa vya treni visivyo na mwenyewe, kununua korosho za msimu kwa mwaka mzima kijeshi!
laughing stoçk kwa kutonunua ndege, kutojenga sgr au stigler's gorge? you must be kidding!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…