Fourth week in North Korea ( Askari na Usalama wa raia nchini Korea Kaskazini)

Fourth week in North Korea ( Askari na Usalama wa raia nchini Korea Kaskazini)

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Kiwango cha rushwa nchini Korea Kaskazini kiko chini sana!

Askari akikamata muarifu amepewa bonus hizi

1. Kama ni mwizi wa pesa 25% ya Pesa anazookoa ni ya kwake na 75% zinaenda ziliko ibwa

2. Askari akikamata Mbakaji Au anayetembea na mtoto wa shule Au chini ya Miaka 21 anapewa 300$ Kwa haraka na wewe uliyekamatwa unanyongwa

Hapa kuna changamoto maana Korea wameweka umri wa Miaka 21 Kama ndo mtu Mzima lakina wengi wanafanana fanana wa Miaka 25 hadi 19 huwezi tofautisha!

3.Mgeni yeyote kutoka nje ya Korea ukiingia kwenye Malls zao unapewa Discount ya 30%

4. Korea Kaskazini hawaamini katika uwepo wa Mungu bali kufanya kazi Kwa bidii ni marufuku kuendesha shughuli za ibada ndani ya Korea Kaskazini bila kuwa na kibali na uangalizi maalumu

5. Vyombo vya habari na magazeti yote ni ya Serikali.

6. Wakorea 21 niliowauliza mkorea mmoja ndo anaijua Tanzania naye ni afisa wa Jeshi!

7. Ambulance ikija bila kuipisha chombo chako ni halali y’a serikali

8. Mahakama za Korea zipo kuthibitisha kwamba umetenda kosa Au lah! Adhabu inatamkwa na rais Au mwakilishi wa Rais

9. Wa Korea wengi wanaonekana kutojali Kama wanakandamizwa pombe ni kawaida
 
Wewe ulienda huko kufanya ninina visa unapata wapi? Je mtu anaruhusiwa kutongoza dem au lazima serikali ikuunganishe?
 
Back
Top Bottom