Fr. Kitima na TEC mnalijua hili? Msaidieni huyu binti apate haki yake

sidhani kama atakuelewa sasa 🐒

ukisoma tone ya bandiko lake ni kama vile anahitaji kuhurumiwa na jamii licha ya madhaifu na kasoro anayojitahid kuyaficha 🐒
 
Kama uliyoyaeleza yote ni ya kweli kwa 100% basi hao Mapadre waliomhamisha huyo binti kutoka shule ya serikali ya kata huku kukiwa hakuna utaratibu unaoeleweka, na kumpeleka hiyo shule binafsi ndiyo wenye makosa.

Kwa upande wa shule sidhani kama wana makosa. Maana wao wamesimama kwenye sheria na taribu zao za shule. Kwa hiyo naunga mkono hoja ya kuzihuaisha mamlaka za seeikali kuingilia kati hilo suala ili haki iweze kupatikana kwa huyu binti.
 
Mrimi!!?

Ametokea haubi!?kinyasi,itololo,goima,au!!?

Kanisa katoliki msaidieni mdogo wangu akasome !!
 
Naona umegeuka tumbiri

Huyo binti ana very strong justification ya kudai cheti
 
Naona umegeuka tumbiri

Huyo binti ana very strong justification ya kudai cheti
mbona hajapata na anasaidiwa na wewe kutia hurumaaaaa, yaani kamutu kamoja eti kaisumbue Taasisi ya mamiaka katika utoaji elimu 🐒

I can confirm to you without fear of contradictions kutia hurumaaaaa hakumtasaidia kupata iyo cheti ispokua kufuata utaratibu 🐒
 
Ni kweli hata waliodhalilishwa na kanisa huwa hawapati haki yao
 
kwanza hujui wapi kwa kupeleka madai yako , mtu ambaye ungemtafuta ni askofu jimbo katoliki Same au Katibu wake… kingine umetoa taarifa ya uongo ufadhili unaofanywa mara nyingi unahusisha ada michango familia inatakiwa ijitolee nikiangalia ada ya hiyo shule possibly hilo deni ni la michango…DAWA YA DENI NI KULIPA.
 
Ninachoona mimi ni kwamba ada ya hiyo shule na michango kwa miaka minne ni zaidi ya mil 8 kwa hilo deni maana yake kuna upande mzazi alitakiwa achangie mwenyewe…
 
Katoto na dimples zake wampe cheti tu au padre kanyimwa tamuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…