Wakulonga
JF-Expert Member
- Oct 29, 2012
- 762
- 771
Time will tellApa mewaza, ivi wale wanaoenda hija katika mji mtakatifu wa MAKKA, wengi hukanyagana na kupoteza maisha muda ule wa kurusha mawe na kumpiga shwetani
Hii imekaaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Time will tellApa mewaza, ivi wale wanaoenda hija katika mji mtakatifu wa MAKKA, wengi hukanyagana na kupoteza maisha muda ule wa kurusha mawe na kumpiga shwetani
Hii imekaaje?
KipiTime will tell
Wewe utakuwa ni muumini wa vibanda imaniKipi
Bila shakaWewe utakuwa ni muumini wa vibanda imani
Miaka michache kidogo iliyopita Wakatoliki tungeliweza kusimama pembeni na kusema matukio ya aibu namna hiyo si yetu. Lakini sasa hivi na sisi tupo katika foleni ile ile na tunaelekea kule kule kwa sababu tumetumbukizwa katika UIGAJI WA KIUPOFU.
Lakini yatakapotokea hayo kanisani mwetu, mimi sijui tutaficha wapi sura zetu! Lakini nadhani ingekuwa afadhali yakitokea baada ya mimi kuitaliki dunia hii.
Mzee wenu Padre Titus Amigu.
Mambo ya imani yanatawaliwa na hisia (niite emotions) kuliko kufanya tafakuri za kina bila kuathiriwa na hizo hisia.Shida ya mambo ya imani kwa asili hayahusishi matumizi ya akili.
KweliWachache watamuelewa hapa father anamaanisha nini lakini nimetumia Purposive rule ya interpretation na kugundua kuwa father ni concervarive na anayapinga mabadiliko mbalimbali yanayoendelea ndani ya kanisa katoliki hasa hasa hili la KARESMATIC ambao nao wameanza kufanya viroja na maigizo kama wafanyavyo walokole na anaonya kuwa kuna siku aibu kama hii yaweza kulikumba kanisa katoliki kwenye madhabahu yake kama halitaonywa na anamuomba Mungu amchukue mapema kabla hajaishuhudia aibu hii