Fr. Titus Amigu: Vifo wakikanyaga mafuta ya upako, ya Musa bado ya Firauni

Apa mewaza, ivi wale wanaoenda hija katika mji mtakatifu wa MAKKA, wengi hukanyagana na kupoteza maisha muda ule wa kurusha mawe na kumpiga shwetani

Hii imekaaje?
Time will tell
 

Wachache watamuelewa hapa father anamaanisha nini lakini nimetumia Purposive rule ya interpretation na kugundua kuwa father ni concervarive na anayapinga mabadiliko mbalimbali yanayoendelea ndani ya kanisa katoliki hasa hasa hili la KARESMATIC ambao nao wameanza kufanya viroja na maigizo kama wafanyavyo walokole na anaonya kuwa kuna siku aibu kama hii yaweza kulikumba kanisa katoliki kwenye madhabahu yake kama halitaonywa na anamuomba Mungu amchukue mapema kabla hajaishuhudia aibu hii
 
Shida ya mambo ya imani kwa asili hayahusishi matumizi ya akili.
Mambo ya imani yanatawaliwa na hisia (niite emotions) kuliko kufanya tafakuri za kina bila kuathiriwa na hizo hisia.

Linapofika suala la emotion hapo umri na elimu havisaidii sana, wote wanakuwa ktk ujinga ulio ktk kiwango sawa.
 
Kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…