Huyu ni kiungo mkabaji wa klabu cha kandanda cha simba .Alivyokuja kwenye ardhi ya tanzania alionekana sio chochote lakini kwa miezi 5 aliecheza baadhi ya wanamsimbazi wamemsahau kiungo wao mpendwa na captain wazamani/mkude .Swali ni je huyu jamaa ana historia ya kusisimua kwanini hakuenda ulaya? Su kuna uwezekano akawa aliachwa na mawakala wa ulaya kutokana na imani yake? Na je imani yake ya dini inaendana na ushangiliaji wake wa mabao? Nafikiria tuuHappy new year wanasimba na samba soccer styles