frame/eneo inahitajika kwaajili ya biashara ya chakula/mgahawa

frame/eneo inahitajika kwaajili ya biashara ya chakula/mgahawa

kiface

Senior Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
151
Reaction score
61
Habari wakuu nina shida ya kufanya biashara ya chakula, lakini tatizo eneo linaloendana na biashara ninayotaka kufanya ndio shida
 
Habari wakuu nina shida ya kufanya biashara ya chakula, lakini tatizo eneo linaloendana na biashara ninayotaka kufanya ndio shida

Kwahio tatizo ni hujui ni eneo gani linafaa au haujapata eneo linalofaa ? Na kama unatafuta eneo labda ni vema ukasema unataka eneo liwe maeneo yapi au labda useme unatafuta tender ya ku-supply chakula kwahio mtu akupe tender kwenye mgahawa wao
 
Back
Top Bottom