K kiface Senior Member Joined Jan 23, 2014 Posts 151 Reaction score 61 Aug 20, 2014 #1 Habari wakuu nina shida ya kufanya biashara ya chakula, lakini tatizo eneo linaloendana na biashara ninayotaka kufanya ndio shida
Habari wakuu nina shida ya kufanya biashara ya chakula, lakini tatizo eneo linaloendana na biashara ninayotaka kufanya ndio shida
Logikos JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 17,572 Reaction score 27,416 Aug 20, 2014 #2 kiface said: Habari wakuu nina shida ya kufanya biashara ya chakula, lakini tatizo eneo linaloendana na biashara ninayotaka kufanya ndio shida Click to expand... Kwahio tatizo ni hujui ni eneo gani linafaa au haujapata eneo linalofaa ? Na kama unatafuta eneo labda ni vema ukasema unataka eneo liwe maeneo yapi au labda useme unatafuta tender ya ku-supply chakula kwahio mtu akupe tender kwenye mgahawa wao
kiface said: Habari wakuu nina shida ya kufanya biashara ya chakula, lakini tatizo eneo linaloendana na biashara ninayotaka kufanya ndio shida Click to expand... Kwahio tatizo ni hujui ni eneo gani linafaa au haujapata eneo linalofaa ? Na kama unatafuta eneo labda ni vema ukasema unataka eneo liwe maeneo yapi au labda useme unatafuta tender ya ku-supply chakula kwahio mtu akupe tender kwenye mgahawa wao