Steven Sambali
JF-Expert Member
- Jul 31, 2008
- 364
- 182
Nakumbusha tena wandugu. Msinichoke.......
Utamudu $600 kwa mwezi? karibu na bestbite
Sasa wewe unaweza kodi mapaka ngapi kwa maeneo hayo?
Bado nipo nipo tu nazidi kuwambusha.......
wewe unataka kuongeza idadi ya posts nini? Kama huna la kusema sio lazima upost kitu. Ukipita na kusoma ya wenzio ni lazima utujulishe kama umepita....gggrrrrrHabari za Jumamosi wana mtandao? Nilikuwa napita tena.....
Go ahead kijana. Pia waone madalali na friends waliokaribu na maeneo hayo ili wasaidie kupata hiyo room...... Nadhani utafanikiwa.
wewe unataka kuongeza idadi ya posts nini? Kama huna la kusema sio lazima upost kitu. Ukipita na kusoma ya wenzio ni lazima utujulishe kama umepita....gggrrrrr
Mkuu, pale Kinondoni Studio kuna frame mpya bei zake sio mbaya 200,000 kwa mweziWakuu,Natafuta Frame ya duka maeneo ambayo yanafikika kiurahisi. Isiwe kubwa sana na wala ndogo sana.Ningelipendelea maeneo kama Kinondoni, Mwenye, Sinza, Ilala na Ubungo.Lengo hasa ni kuuza vipodozi (Perfumes) kwa bei ya rejareja na jumla.Naomba tuwasiliane kwa email SSAMBALI@hotmail.com au nipe PM.
Mkuu, pale Kinondoni Studio kuna frame mpya bei zake sio mbaya 200,000 kwa mwezi
Ndugu wana - JF nina mpango wa kufungua kijiduka cha VIPODOZI maeneo ya MWENGE, SINZA au sehemu nyingine inayofaa kwa biashara hiyo kulingana na ushauri wenu wadau.
Naombeni msaada wenu wa namna ya kupata flemu kwenye maeneo hayo niliyotaja au hata sehemu nyingine ilimradi iwe na mkusanyiko wa watu na inayofaa kwa biashara hiyo, makadirio ya bei za flem kwenye maeneo husika yatanisaidia pia.
Pia natumai nitapata ushauri mzuri kutoka kwa wadau wa biashara hiyo juu ya changamoto zake na namna ya kukabiliana nazo maana ndio niko kwenye mchakato na najaribu kufanya reserch kabla sijaingia rasmi.
Asanteni..... naomba kuwasilisha!
Mkuu jitahidi sana kuhakikisha bei ya frame inakuwa chini, ukienda pupa utapigwa bei ya juu na kama ujuavyo mambo ya business cycle yalivyo. Nimependa sana jinsi ulivyo plan namna ya kuifanya business yako na msimamo ulionao. Japo pia unaweza kulazimika kubadili uamuzi wako wakuhusu pango la mwezi. But vuta subira na MUNGU atakusaidia utapata tu sehemu.Kumbe tupo wengi hapa wenye shida hii. Tujulisheni basi hata simu za hao madalali:
Nakumbuka kuna madalali pale kinondoni wanakaa pale kwenye maduka ya msikiti wa mtambani walishawah kunitafutia nyumba nzuri tu kinondoni,nenda pale uulizie jamaa mmoja anaitwa mohamed namba yake sina tena maana ni mda kidogo.Nashukuru kwa msaada wa mawazo Mkuu. Je unaweza kunipa contact za hao madali kama unazo? Mie si mwenyeji sana wa Dar kwa sasa.Asante tena kwa kupita hapa na kuchukua muda wako kuweka mstari huu chini.
Mkuu jitahidi sana kuhakikisha bei ya frame inakuwa chini, ukienda pupa utapigwa bei ya juu na kama ujuavyo mambo ya business cycle yalivyo. Nimependa sana jinsi ulivyo plan namna ya kuifanya business yako na msimamo ulionao. Japo pia unaweza kulazimika kubadili uamuzi wako wakuhusu pango la mwezi. But vuta subira na MUNGU atakusaidia utapata tu sehemu.
Nakumbuka kuna madalali pale kinondoni wanakaa pale kwenye maduka ya msikiti wa mtambani walishawah kunitafutia nyumba nzuri tu kinondoni,nenda pale uulizie jamaa mmoja anaitwa mohamed namba yake sina tena maana ni mda kidogo.