Emmanuel Alden
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 387
- 485
It's POTTUGAL VS FRANCE and not the way you put it up there
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda ule ule saa nne kamili usikuIPO saa ngapi?
NashukuruMuda ule ule saa nne kamili usiku
Aliyesema uje na M catalunya nani? Soma caption yangu vzr nimesema njoo dm tuwasiliane tuonane na kubet kisha baadae tukachek ball pamoja catalunyawe unataka mtu aje na M hapo Catalunya umkabe umuibie...ole wako nakuja na maninja kutoka China
ingia www.ronaldo7.net, utakutana na link zaidi ya 50 muda ukikalibiajaman link za kuangalia mpira huo jaman...nmejikoki na ma-MB ya kutosha maana sina access ya tv huku nliko
Mkuu ingia google tafuta app inaitwa Mob dro,download na install kuna sports channel za kutosha utapata ona mpira bila shida.jaman link za kuangalia mpira huo jaman...nmejikoki na ma-MB ya kutosha maana sina access ya tv huku nliko