Francis Kimemia replaced by Joseph Kinyua as Head of Public Service

Francis Kimemia replaced by Joseph Kinyua as Head of Public Service

Vijana imekula kwao,huyu jamaa alisha stafu na akachukua mamilion ya fedha kama kiinua mgongo chake,leo hii anarudishwa tena kwenye uongozi mkubwa zaidi,mtu kama huyu sijui kama atakuwa na mawazo mapya,na hiyo nafasi nyeti wanapeana wa kabila moja tu,kwani hakuna wengine.Kwa Ruto hao ndio watu wa kule mlimani wanajipendelea wenyewe muda si mrefu utakuwa si nusu mkate bali mkate mzima wanapewa watu wa kabila moja
 
Hivi hiyo nafasi ni ya watu kutoka MT Kenya tu?hizi nafasi ni lazima utoke MT Kenya gavana wa benki kuu,mkuu wa intelejensia,mkuu wa upepelezi polisi,pia kwenye hazina ,ingawa mzee wa mahindi kafanikiwa kumweka mtu wa kwao kwenye nusu mkate wa safari hii

Ukabila uko,,,,,,,,,,,katika roho zenu,,,macho yenu,,,,kwani,,kama nyinyi
si wakabila,,,,kwanini mwaona ukabila kila mahali.

Nyinyi ni watu ambao hua,hamna kazi ya kufanya lakini ni kungoja muone
eti ninani atakae teuliwa ili muimbe huwo wimbo ambao hata nyinyi wenye
hautamsaidia,,,,,,ukabila ukabila.

Endeleeeni na hiyo chorus,,,,:biggrin:,,,,kwani,,haidhuru yeyote.

Kwani,,,,mlitaka nani ateuliwe???????????

Raila Odinga.

Mr Kinyua ni mkenya,,na hiyo yatosha,,,hiyo ingine,,,,
ni yenu tuu.

Kama Uhuru hakuenda kinyume cha katiba,,minung'uniko
ni ya nini????

Kwanini,,,,katika hii forum,,,hakuna yeyote aliye zungumzia
yale yana husu na kudhuru Kenya kama ilivyo fanyika wiki
mmoja iliopita katika,,,,WestGate?????

Sababu,,,hamna haja na Kenya na yenu ni uzushi wa
pesa nane.


Small minds,,,will never think,,,,,,,,Biiiiiiiig.
 
Mwizi,,,huona waizi,,kila mahali na ndipo,,,hua,,anafunga nyumba yake
na kufuli,,,mbili,,eti,,asiibiwe.

Mlevi,,,,hufikiri watu wote ni walevi,,,,kama yeye.

Hivyo ndivyo,,,,mkabila huona ukabila kila mahali.

Enyi wakabila wenye roho za kikabila,,,ambao
mwaita wengine wakabila,,,,ninani aliye wapatia
certificates kwamba eti nyinyi si,,,wakabila????


Kwanini hamuna macho ya kuona vile kulifanyika Kenya
wiki iliyopita,,,,pale wa Kenya walichanga damu kutoka
miili yao,,zaidi ya paint 10,000?????

Ni kabila ngani iliyo fanya hivi,,,,tuelezeni enyi nyinyi watafiti
wa ukabila Kenya,,,,,,hamuwezi kuyaona kwani roho zenu zimejawa
ni mashida ambayo hayaweleki.

Wanainchi wa Kenya walifanya mambo ambayo haijawahi kufanyika
duniani popote.

Walichanga zaidi ya 100 million through phones,,na hapa
hatukujua ni kabila ngani iliyo changa zaidi.

Haya kazi kwenu,,,,ukabila specialists,,,mutueleze.

Tena,,,,ninani mwenye ujuzi zaidi katika hiyo kazi aliyo
patiwa bwana Joseph Kinyua,,,,ambaye anaweza
kuwa na juu,,,,,,,,,,, kumliko???????

Hakuna,,,,,very confident,,,when i say so,,,hakuna
yeyote Kenya anae weza kua juu ya Kinyua,,,hakuna,,
kwani yeye yuko juu ya mtu yeyote Kenya ,,,has been
tested and he more than
qualified.

Hatutaki kujua dereva ni nani,,,,ama hauta panda basi
sababu dereva si waabila lako???????

Upuzi ulio pitwa na wakati.

This is 2013,,,,do not sing,,,songs which were sung
by grand fathers and mothers,,,in 60's and 70's.

Make a difference,,please,,,,,i beg.



 
Watu walidhania huyu Uhuru angalau kwa vile kasoma marekani atakua tofauti lakini ngoma bado ipo pale pale na
hamna jipya kamanda. Hata pale airport baada ya ule moto vibarua viliota majani lakini waliochukua nyadhifa
walitoka 'kabila teule'.

Jamaa anazidi kuharibu nchi huyu.


ndo safi ukabila na udini ndo mpango mzima .....
 
Vijana imekula kwao,huyu jamaa alisha stafu na akachukua mamilion ya fedha kama kiinua mgongo chake,leo hii anarudishwa tena kwenye uongozi mkubwa zaidi,mtu kama huyu sijui kama atakuwa na mawazo mapya,na hiyo nafasi nyeti wanapeana wa kabila moja tu,kwani hakuna wengine.Kwa Ruto hao ndio watu wa kule mlimani wanajipendelea wenyewe muda si mrefu utakuwa si nusu mkate bali mkate mzima wanapewa watu wa kabila moja

Soma hii nimeikuta kula FB:

Kimemia's head rolling is good. However he gets replaced by another Ki...nyua, Ki...memia had been appointed by Ki...baki, and he's said to have creating a second centre of power against president Ki...nyatta. All of them are....Ki... (jijaziye).

George Orwell's Animal Farm.
 
Ukabila kama kawaida,vikao vinaendeshwa kwa kilugha kwenda mbele.

Meanwhile kule Benki Kuu ya Kenya mambo ni kama hivi:


[h=1]CBK board taps new chairman to replace Ndung’u[/h]
governor.jpg

Central Bank of Kenya governor Njuguna Ndung’u at a past function. The governor is to focus on policy under new rules. FILE


By GEORGE NGIGI, gngigi@ke.nationmedia.com

Posted Sunday, September 29 2013 at 17:25



In Summary


  • Members elect Dr Wagacha interim chair in bank restructuring to boost performance.

Njuguna Ndung’u has been replaced as the chairman of the Central Bank of Kenya (CBK) following the passage of a controversial law seeking to trim the powers of the governor and foster good governance.



Economist Mbui Wagacha has been elected as the interim chairman awaiting a formal appointment by the President as per the rules passed last year. This is the first time this has happened since Independence in 1963.



The governor, however will continue chairing the Monetary Policy Committee (MPC), meaning the board’s role will be administrative.



“The appointment is not gazetted. He was elected by non-executive directors as an interim case,” said Prof Ndung’u in an email response to the Business Daily. “I will chair the MPC.”



The separation of powers makes the chairperson answerable over the management of Central Bank as an institution while leaving the governor with the role of making policies to ensure macro-economic stability of the country.



“They changed the law to have the CBK board chaired by a different person who oversees the performance of the governor and the bank,” said Dr Wagacha while confirming the interim position.



Last year, Parliament reviewed the Central Bank Act separating the chairperson and the governor while expanding the membership of the board.

As per the act the chairperson shall be appointed by the President through a competitive process and approved by Parliament. The chairperson will occupy the seat for a four-year term renewable only once as is the case with the governor. The appointment of the board is to be staggered to ensure continuity.



Currently, the board is also not fully constituted as per the new Act as it has four directors against the requirement to have eight non-executive directors besides the chairperson, governor and principal secretary.



“That will happen as per the terms which call for competitive sourcing; so I believe they will have to advertise,” said Dr Wagacha.



However, the Act is silent on how the directors are appointed only stating they must be Kenyan citizens, knowledgeable or experienced in monetary, financial, banking and economic matters or other disciplines relevant to the functions of CBK.



Under the separated powers, governor acts as chief executive of the bank answerable to the board and is the representative of the bank in public.

The battle over whether to have a separate chairman or not has raged on since 2009 when the proposal was expunged from the draft constitution, in part following CBK protests.



The Treasury supported the move though with then PS Joseph Kinyua saying: “There is conflict of interest in having a chief executive who is also the board chairperson.”



MPs amended the CBK Act following the 2011 currency depreciation crisis claiming conflict of interest.

CBK board taps new chairman to replace Ndung
 
Back
Top Bottom