TANZIA Francis Mtega, Mbunge wa Mbarali afariki dunia kwa ajali ya bodaboda

Nafuatilia breaking story hii ya kifo cha huyo jamaa hapo ☝🏾, naona watanzania wamechafukwa huko mitandaoni aseee!.

Yaani wanashangilia sana kifo cha huyu mbunge kisa ni mwanaccm, wakihusisha na issue ya bandari.


NO, tuwe na subra kidogo ndg watanganyika!.
 
Ndiye yule aliyekua akimbananisha Waziri Mkuu kuhusiana na issue ya Mbarali?
 
Amepata ajali ya bodaboda lakini utatupa update ungonjuwa gani umemuua,are you serious?
 
Afe tu!!!

Ukweli sina uchungu wowote akifa mtu anayepiga piga makofi hovyo akishangilia vitu visivyokuwa na msingi kwa taifa,huwezi kujua faida ya yeye kula posho kupitia kodi yetu na angeendelea kuwepo still angezidi kututia hasara.
 
Watu wema hawafi mkuu au unasemaje? Ok kama vp alale mahali panapomstahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…